we juzeeshe tu ,chukua wife nenda nae club mpunguze stress za ndoa siku moja moja!ume mdate miaka mitano mnaenda kila sehemu lei baada ta kuoa na kutoa nae copy mbili tatu unajifanya hutaki kwenda clyb kumbe hutaki kwenda na mkeo club!
Acha unafiki
Hata pichu ameacha kununua eti mambo ya kike wakati pichu ndiyo zawadi vya kwanza wakati anamtongozawe juzeeshe tu ,chukua wife nenda nae club mpunguze stress za ndoa siku moja moja!ume mdate miaka mitano mnaenda kila sehemu lei baada ta kuoa na kutoa nae copy mbili tatu unajifanya hutaki kwenda clyb kumbe hutaki kwenda na mkeo club!
Acha unafiki
baba yangu alikuwaga mkali sana sikuwahi kupata hizi fursa wakati wa ukuaji wangu (teenager) so najikuta nimezoea tu hii hali.....sijawahi kuingia clubUnaendaga club
Tutakubambia mpk ujute.Ukitaka usitongozwe nenda pale cheza mziki,usiombe kununuliwa kinywaji kua serious
Uko club nyuma kunatokea msiba sjui mtu ataficha wapi uso wake, sema ndio maisha hatuwez kufananaHao kwakweli ni wavulana, yaan niache kuangalia Ulinzi wa familia yangu, mke wangu nisimpe anachotaka, wanangu wamelalaje. ... Inatokea tatizo ,mtoto anaumwa ,Baba lipo club linakunywa pombe namziki linacheza ???[emoji23][emoji23]
Akili ingine za ajabu sana.
Thats my papa, ashukuriwe mana ukali wake leo ndio unaona faida yakebaba yangu alikuwaga mkali sana sikuwahi kupata hizi fursa so najikuta nimezoea tu hii hali.....sijawahi kuingia club
Sikiliza moja ya mwanamke atakayepata Furaha na kujihis alobarikiwa ni mwanamke wangu.Hata pichu ameacha kununua eti mambo ya kike wakati pichu ndiyo zawadi vya kwanza wakati anamtongoza
kwa kweli ashukuriwe sana tu,Thats my papa, ashukuriwe mana ukali wake leo ndio unaona faida yake
Mhh ngoja nakuambia kitu sasa hivikwa kweli ashukuriwe sana tu,
usiponiona leo kama jana kesho unikumbushe
Sikiliza mkuu..kama unataka Mkeo aende katika njia sahihi..mpeleke maeneo yatakayokua yanamfanya aelewe maana yayeye kuumbwa.Comment ina mguso ndan yake.
Next weekend lzm nmtoe wife out.
#hatakamani*coco*#
Kila mtu na starehe yake kaka!Hapa hapanihusu.
Mwanamme bora huwezi poteza muda kwenda club ,usiku huo familia yako unaiacha nanan?? .
Ndo maisha kwa kweli.Uko club nyuma kunatokea msiba sjui mtu ataficha wapi uso wake, sema ndio maisha hatuwez kufanana
Ahsante sanaKwanza kwetu sisi waislam imeharamishwa pombe na Muziki
Hii labda kwa wale wanaoipenda Dunia
Sio starehe ..sema kila mtu na akili yake.... Unaakili timamu ukiwaza juu ya familia huwezi kuiacha mke na mkeo ndani ukaenda kustareheka hahahauauau nacheka sana .Kila mtu na starehe yake kaka!
Kuna dada mmoja mama yake alikuwa mgonjwa mahututi yeye akatoka. Mama amefariki ndugu walimtafutabguest zote kumbe yuko gheto na simu amezimaUko club nyuma kunatokea msiba sjui mtu ataficha wapi uso wake, sema ndio maisha hatuwez kufanana
Sawa kaka angu lakini kupanga ni kuchagua...Mimi niliacha kwenda club siku niliyoitwa mama,earlier msukuma nilikua nampeleka pale Dom NK siku moja moja!!Sio starehe ..sema kila mtu na akili yake.... Unaakili timamu ukiwaza juu ya familia huwezi kuiacha mke na mkeo ndani ukaenda kustareheka hahahauauau nacheka sana .
Dada ametoka?? ..tena awe geto?? Sijakuelewa .Kuna dada mmoja mama yake alikuwa mgonjwa mahututi yeye akatoka. Mama amefariki ndugu walimtafutabguest zote kumbe yuko gheto na simu amezima
mimi nlikuwa nawanunulia,wakawa washkaji mwisho wakaanza nkuwadia kwa wajomba zaoUkitaka usitongozwe nenda pale cheza mziki,usiombe kununuliwa kinywaji kua serious