Basi muwaulize hao sasa vipi kuliko wale ambao hawajaomba kinywajihata sisi tukiwa club kuna mademu wanatuwinda tuwanunulie vinywaji na ku ashiria kutaka kugegedwa sema sisi wanaume tunaona aibu kukataa tunaishia kugegeda kweli
[emoji106]Hapa hapanihusu.
Mwanamme bora huwezi poteza muda kwenda club ,usiku huo familia yako unaiacha nanan?? .
Kwanza kwetu sisi waislam imeharamishwa pombe na MuzikiHapa hapanihusu.
Mwanamme bora huwezi poteza muda kwenda club ,usiku huo familia yako unaiacha nanan?? .
Unaendaga clublakini hii kitu hata wanawake inawahusu pia naona umebase upande mmoja hata nyie mkienda club sio lazima utoke na mtu.....kwani ukisema sitaki watakuiba
Kwakweli hii tunawaachia wenye dunia yao hahahah !! .Kwanza kwetu sisi waislam imeharamishwa pombe na Muziki
Hii labda kwa wale wanaoipenda Dunia
we juzeeshe tu ,chukua wife nenda nae club mpunguze stress za ndoa siku moja moja!ume mdate miaka mitano mnaenda kila sehemu lei baada ta kuoa na kutoa nae copy mbili tatu unajifanya hutaki kwenda clyb kumbe hutaki kwenda na mkeo club!Hapa hapanihusu.
Mwanamme bora huwezi poteza muda kwenda club ,usiku huo familia yako unaiacha nanan?? .
Hao ni wavulana wale ambao hawajui majukum n nn na bado hajapevuka akili zake wala fikra zake, umenena vyemaHapa hapanihusu.
Mwanamme bora huwezi poteza muda kwenda club ,usiku huo familia yako unaiacha nanan?? .
Nakuambia ivi, kwanza unielewe Sijawah shika hata chupa ya pombe au hata sigara tu ,sijawah TOA mguu wangu kuifuata Anasa isokua na faida .we juzeeshe tu ,chukua wife nenda nae club mpunguze stress za ndoa siku moja moja!ume mdate miaka mitano mnaenda kila sehemu lei baada ta kuoa na kutoa nae copy mbili tatu unajifanya hutaki kwenda clyb kumbe hutaki kwenda na mkeo club!
Acha unafiki
Hao kwakweli ni wavulana, yaan niache kuangalia Ulinzi wa familia yangu, mke wangu nisimpe anachotaka, wanangu wamelalaje. ... Inatokea tatizo ,mtoto anaumwa ,Baba lipo club linakunywa pombe namziki linacheza ???[emoji23][emoji23]Hao ni wavulana wale ambao hawajui majukum n nn na bado hajapevuka akili zake wala fikra zake, umenena vyema