Wanaume na nywele za sehemu ya siri

Wanaume na nywele za sehemu ya siri

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,789
Reaction score
8,752
Jitahidini kukwangua nywele za sehemu ya siri na nywele za kwapani.

Pia bila kusahau boxer zenu kubadilisha walau mara nne kwa wiki.

Ni ombi tu
 
Wewe inaelekea unatok sana na wauza mkaa na makondakta ndo tabia zao izo njoo uku mbez beach na boko kam sio bahar beach uone jins watu wanavyotunza hekalu..
 
mavuzi mafupi yaliyonyolewa humchoma mwanamke mbapokuwa ulingoni......pia marefu huongeza hisia kwa mwanamke sababu wengi hupenda kuyachezea
 
a) Dah ushukuriwe! umetutangazia tupumzike kubadilisha toka kila siku hadi mara nne kwa wiki?
b) Na kwenye kwapa pia kumbe ni mazivu?


Mkuu kwani nywele za kwapa zinaitwaje, me nijuavyo ni mavuzi
sasa km kuna jina jingine nijuze
 
Back
Top Bottom