Wanaume na mzigo wa vichwa viwili

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Aug 10, 2021
2,035
2,682
Wanaume tumeumbwa kwa ajabu sana, tumeumbwa na vichwa viwili daah, kichwa cha juu na kichwa cha chini.

Kichwa cha juu kazi yake kutafuta pesa na kukupa mawazo mazuri ya kusaka pesa, ila kichwa cha chini kazi yake ni kutumia pesa alizotafuta kichwa cha juu.

Huwa najiuliza kichwa cha chini, hakinaga adabu kabisa, kinasimama mahali popote bila kujali kinamsimamia nani, tena kinakuwa cha moto mpaka hatari, usishangae watu wanabaka ni kichwa cha chini, kimekuwa moto.

Ili mwanaume ufikie mafanikio, inatakiwa utumie akili ya kichwa cha juu ili kukicontrol kichwa cha chini, ukifeli hapo sahau kuhusu mafanikio. Na kichwa chini kinatamaa sana, yaani kimetoka kufanya bado kikiona pochi manyoya kinasimama ajabu.

Ni hayo tu.
Approximately
 
Ndiyo maana wanaume hatuna kinyaa cha mapenzi.

Mwanaume hata kama una hela vipi au smart vipi, unaweza kutembea na chizi au mlemavu, hii yote kwasababu ya kichwa cha chini.

Tofauti na wanawake, wanawake wana kinyaa cha mapenzi. mwanamke mwenye hela hawezi kufanya mapenzi na chizi au mlemavu.
 
ndiyo maana wanaume hatuna kinyaa cha mapenzi.

mwanaume hata kama una hela vipi au smart vipi, unaweza kutembea na chizi au mlemavu, hii yote kwasababu ya kichwa cha chini.

tofauti na wanawake, wanawake wana kinyaa cha mapenzi. mwanamke mwenye hela hawezi kufanya mapenzi na chizi au mlemavu.
Kweli jamaa umenena vyema
 
Kichwa cha juu kimeumbwa na ubongo

Kichwa cha chini kimeumbwa na chongo

Uki kifuata utaharibu michongo, utapunwa mtaji utauza mpaka bajaji.....
 
Kwani huyu mwamba ukihesabu unaona ana jumla vichwa vingapi?
JamiiForums-915062494.jpg
 
Back
Top Bottom