- Thread starter
- #61
ungeomba akupe mechi kabla hajaenda kwenye mpira
ningejua ningeomba mapema,bt ikawa too late

dah wanandoa mwa-enjoy
Thubutu,
Kwanza tunawapiga Liver za kutosha tu, kabla ya kuwashushia Maangamizi.
Mwaka huu Man U msiposhuka daraja najitoa JF.
ningejua ningeomba mapema,bt ikawa too late
Haha!
Kweli jana Chelsea walitufunga... hata mimi sikumpa mpenzi wangu tunda jana, japo alilalama usiku kucha.... teh!
hili tatizo sanasana liko kwa baadhi ya wanaume!utakuta katoka kuangalia mpira afu amefungwa anakuja amenuna,ana stress zake kibao na humo ndani hapakaliki hasira zote zinaishia kwa wake/wapenzi wao na cha ajabu cku hyo ht mechi mwanamke ananyimwa!cyo vizur jaman
kumbe tupo tim moja
hata mm shemejio nilimnyima naniliiii!!
kufungwa kunauma aisee hasira hazikwepeki!!
hili tatizo sanasana liko kwa baadhi ya wanaume!utakuta katoka kuangalia mpira afu amefungwa anakuja amenuna,ana stress zake kibao na humo ndani hapakaliki hasira zote zinaishia kwa wake/wapenzi wao na cha ajabu cku hyo ht mechi mwanamke ananyimwa!cyo vizur jaman
hili tatizo sanasana liko kwa baadhi ya wanaume!utakuta katoka kuangalia mpira afu amefungwa anakuja amenuna,ana stress zake kibao na humo ndani hapakaliki hasira zote zinaishia kwa wake/wapenzi wao na cha ajabu cku hyo ht mechi mwanamke ananyimwa!cyo vizur jaman
atakuwa man u huyo sisi arsenal tumezoea!hili tatizo sanasana liko kwa baadhi ya wanaume!utakuta katoka kuangalia mpira afu amefungwa anakuja amenuna,ana stress zake kibao na humo ndani hapakaliki hasira zote zinaishia kwa wake/wapenzi wao na cha ajabu cku hyo ht mechi mwanamke ananyimwa!cyo vizur jaman
hili tatizo sanasana liko kwa baadhi ya wanaume!utakuta katoka kuangalia mpira afu amefungwa anakuja amenuna,ana stress zake kibao na humo ndani hapakaliki hasira zote zinaishia kwa wake/wapenzi wao na cha ajabu cku hyo ht mechi mwanamke ananyimwa!cyo vizur jaman
atakuwa man u huyo sisi arsenal tumezoea!
hapo numeongea pwointi ndugu, ni ulimbukeni haswaaaaaa wa kuchukua hasira za match mpaka kwenye maisha ya kawwaida! mie nifungwe nishinde yanaishia hapo hapo bar! nikitoka natabasamu! japo sijaenda shule.., mijitu mingine mpaka inarusha ngumi ikitaniwa kisa arsenal imefungwa., utafikiri kazaliwa nayo, au ana hisa pale...Uko sahihi #Debora ila mara nyingi hawa uwa ni malimbukeni wa ushabiki!, ushabik ambao hauna busara ndan yake, na asilimia chache sana wameenda shule..!