wanaume na mipira yaooo!!!

Deborita

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
37
Reaction score
11
hili tatizo sanasana liko kwa baadhi ya wanaume!utakuta katoka kuangalia mpira afu amefungwa anakuja amenuna,ana stress zake kibao na humo ndani hapakaliki hasira zote zinaishia kwa wake/wapenzi wao na cha ajabu cku hyo ht mechi mwanamke ananyimwa!cyo vizur jaman
 

Mhhh kazi mnayo mnayo #Deborita
Siwezi mnunia bibi yangu au girl wangu kisa timu yangu kafungwa.
 

Pole sana kwakunyimwa gemu ya 6x6 jana..
 
Kuna umuhimu wa kuwaelewa waume/wanaume zenu, watu wengine wakifungwa ni balaa kubwa.
 
Haha!
Kweli jana Chelsea walitufunga... hata mimi sikumpa mpenzi wangu tunda jana, japo alilalama usiku kucha.... teh!
 

huyo atakua shabiki wa arsenal,,,,
binafs nilidhan unazungumzia kondon,
asbui njema
 
Hiyo ya kujifanya unamsapot nimeipendaje......akirudi amenuna na wewe ubajifanya umenuna unamvuta chumbani mnafarijiana hahaha
 
Wenzako mbona wameshazoea! !!Kwangu mie km team yangu inacheza mm sichez ya 6*6!!NYIE MBONA SIMBA WAKIWA WANACHEZA SISI TUNAVUMILIA TENA SIKU 3 WENGINE MPAKA 5,THEN UWANJA UKAUKE NI. SIKU 7-10!!BAADHI YENU HUWA NA KISIRANI SN KIPINDI HICHO ..TUNAISHI NANYI KWA AKILI, NYIE JE??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…