Wanaume na minywele

Wanaume na minywele

Mwanamke anayelalamika eti mpenz wake ana forest au kucha ndefu huyo ni falaaa sana! Hayajui mahaba, alipaswa kukamata mashine na kunyoa au kumkata kucha....unakuja kulalamika nyuma ya keyboard au kwa mashoga zako ndo wakamnyoe?
 
Ukikuta mme ni mchafu bhas mke ni mchafu zaidi so lawama kwenu madada........Kama anafuga huko chini bhasi ww ni mchafu zaidi yake
 
Kaka zangu please remember to trim some of the hair on you especially pubes. Tunajua sisi ke tunawachanganya sana the way mnashinda humu kutafuta na kuandika mapungufu yetu, it's ok but find sometime to take care of yourself kunako mzigo. It's such a turn on to see a well trimmed,and clean package. :A S 11:

January Makamba for President? :A S wink::A S wink:
 
Different test. I guess the majority like it shaved or trimmed. Are there Rastafarian????????
 
Thread of a retired prostitute...
(read between the lines)....

Na bado yatawatoka sana mwaka huu...mfyuuuu!
Yakateni hukoo!, na hili jito no wonder mnatoa funny aroma down there...nasty!, ewwwww!
 
Ukikuta mme ni mchafu bhas mke ni mchafu zaidi so lawama kwenu madada........Kama anafuga huko chini bhasi ww ni mchafu zaidi yake

Yani uchafu wako binafsi umsingizie mwanamke? sasa mtataka hadi kuchamba akuchambishe mwanamke.

Kuna wanaume humu hata cosmetics shop wanadhani ni kwa ajili ya wanawake mtu unanuka kama beberu halafu unasingizia mwanamke, ina maana humu wote wanaishi na wanawake?
 
  • Thanks
Reactions: kui
yani uchafu wako binafsi umsingizie mwanamke? Sasa mtataka hadi kuchamba akuchambishe mwanamke.

Kuna wanaume humu hata cosmetics shop wanadhani ni kwa ajili ya wanawake mtu unanuka kama beberu halafu unasingizia mwanamke, ina maana humu wote wanaishi na wanawake?

asante!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kaka zangu please remember to trim some of the hair on you especially pubes. Tunajua sisi ke tunawachanganya sana the way mnashinda humu kutafuta na kuandika mapungufu yetu, it's ok but find sometime to take care of yourself kunako mzigo. It's such a turn on to see a well trimmed,and clean package. :A S 11:

Hiv ulianza na baby wako kumwambia?? Yaelekea huyo wako yuko hivo.coz huwez ona pubic hair za jiran ako we sema tu unamfikishia ujumbe your baby manake mwanaume anaejielewa hawez kufuga msitu wa congo mwilini mwake.
 
Back
Top Bottom