Wanaume na minywele

Wanaume na minywele

ww ulimuona boy wako ajanyoa unazani ote tupo hivyo? kuna wanawake wanawajali wanaume zao kama wako umjali pole!
 
Huu ni uzembe usiopaswa kutetewa, juktmu kubwa la mwanamke ni house keeping, jukumu la usafi wa mwili wako wako ni jukumu lako mwenyewe.

Kama mke wako amesafiri huo usafi akufanyie nani? na mtu ambaye hana mke na kama ana rafiki wa kike labda kwa mwezi wanaonana mara mbili tu wake tu mkapa wanuke uvundo kusubiri wanawake?
 
  • Thanks
Reactions: kui

Lol!, a.k.a funny aroma
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yani uchafu wako binafsi umsingizie mwanamke? sasa mtataka hadi kuchamba akuchambishe mwanamke.

Kuna wanaume humu hata cosmetics shop wanadhani ni kwa ajili ya wanawake mtu unanuka kama beberu halafu unasingizia mwanamke, ina maana humu wote wanaishi na wanawake?

Mpaka mme anuke kama beberu na ww unanyamaza bhasi unafurahi khali hyo....ww ndo utakuwa mchafu wa kwanza!!!
Wakati wa uchumba wenu hukusikia hyo harufu ya ubeberu au ulipenda materials aliyokuwa nayo so ukaziba pua??

Na kama ni kijana hajaoa na ananuka kibeberu na ana gal frnd bhas gal frnd wake mchafu zaidi yake.....

Si watatei vijana wenzagu thou we need to be smart
 
Sikushangaa kukuta huku ahhah
na wewe ufukunyuku umekuzidi! lakini mimi nywele asili yangu, mwili mzima nina minyweleeee, kunyoa huwa najimwagiamaji moto ndiyo yanapukutika! Lakini nyie wadada ndiyo mnapenda kufuga vijimsitu hukochini, halafu siku hizi mnanyoa kiduku!
 
  • Thanks
Reactions: kui
kabla hujanificha, we umeyaonea wapi hayo ka sio kwa mpnz Wako? Unadhani wote Wako ivyo?

jamani tabibu mtaratibu mbona unataka kuwa tabibu mkorofi? Muache mwenzio akajifiche maana wakija wahucka patachimbika hapa. Hali ya hewa iki2lia ndo atajitoa huko aliko akupe majibu
 
hahaha maji kayavulia nguo kwa nini asiyaoge?
 
na wewe ufukunyuku umekuzidi! lakini mimi nywele asili yangu, mwili mzima nina minyweleeee, kunyoa huwa najimwagiamaji moto ndiyo yanapukutika! Lakini nyie wadada ndiyo mnapenda kufuga vijimsitu hukochini, halafu siku hizi mnanyoa kiduku!

Ahhhha ulijuaje kama hukuwapekua
 
Huu ni uzembe usiopaswa kutetewa, juktmu kubwa la mwanamke ni house keeping, jukumu la usafi wa mwili wako wako ni jukumu lako mwenyewe.

Kama mke wako amesafiri huo usafi akufanyie nani? na mtu ambaye hana mke na kama ana rafiki wa kike labda kwa mwezi wanaonana mara mbili tu wake tu mkapa wanuke uvundo kusubiri wanawake?

Kwahiyo Dada Matola mumeo wewe humnyoi....???....kazi kumpa unyumba..tu..!!!..
 
Last edited by a moderator:
Khe khe khe khe vuzi likinyooshwa linafika hadi kwenye unyayo!!! Si umwambie tu, "Baby hii kitu mie sipendi njoo nikunyoe" tena unamnyoa kwa mahaba ya hali ya juu.

Last edited by a moderator:
hahaha maji kayavulia nguo kwa nini asiyaoge?[/QUOTE

Duh!, my dear I've concluded jinsi ambavo nyie viumbe mlivo wa ajabu,kuongea muongee nyie wakiongea wengine wanatapika, nyie me msiambiwe ukweli?! Kama mnayafuga kupitiliza in other parts of your bodies chances are, you do the same in that area where your brains settles, and I don't mean above the shoulders, I mean below the waist!...message sent and delivered!, you can swallow it with a slice of lime if y'all wish....baaa!
 
Back
Top Bottom