whistle blower
Member
- Jan 5, 2011
- 84
- 5
hawa wasanii labda wanatangaza biashara ya tigo, siunajua wanaume siku hizi wanaolewa na kuoa usishangae mtu ana demu wakati huo huo nae anashikishwa ukuta na msela dunia imekua ya ajabu sana siku hizi zaidi ya sodoma na gomora loh sijui tunelekea wapi, haya sio kwa wasanii tu makonda wa daladala ndio fasheni yaani limtu lizima na mke na watoto unakuta limevalia chini ya k halafu lichupi lenyewe lichafu yaani mi anashindwa namna ya kuelewa.