Wanaume na manguo ya ndani

Wanaume na manguo ya ndani

Yatapita tu haya mambo.
Sioni haja ya watu wazima kuleta mambo ya kikoloni. Kama nyie mlipigwa virungu kwa kuvaa buga, msitake na hawa watoto wapigwe virungu.
Let'em be themselves.
 
Mimi huku kitaa kwetu ili kuwakomesha huwa nawaita then nawaomba mchezo..
Waki'maind nawambia matangazo wafanyayo ni ya nn?
NOTE:
usiniige mie ni mtu wa miraba minne(baunsa) + karate kama maalim ponda
 
741822781.jpeg
mhhhh apo je?
 
Halafu wengine boxer kubwaaaaa
halafu **** dogooooooo.....
 
Unakuta mtu na mlege wake, boxer chafuuu........bukta chafuuuu! Yaani full kichefuchefu.......aaaaarrrgh!!!!!
 
Wasanii Kizazi Kipya..subir ipitwe na Fashion

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Tatizo wasanii wengi wa bongo elimu na exposure ndogo. Mtu anatoka kuwa kinyozi mpaka super star unatehgemea nini. Angekuwa ameenda kidato kidogo ingekuwa tofauti. Mwangalie Diamond anavofanya stupid things. Na tatizo ni nyienyie dada zetu, mnakuta mnashadadia super star kwa ujinga anaofanya. Acha siku moja watajisaidia na kuwatupia ili mfurahi zaidi.

Duuuu, yaani watajisaidia halafu wawatupie! Hii nayo kali dah!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tatizo wasanii wengi wa bongo elimu na exposure ndogo. Mtu anatoka kuwa kinyozi mpaka super star unatehgemea nini. Angekuwa ameenda kidato kidogo ingekuwa tofauti. Mwangalie Diamond anavofanya stupid things. Na tatizo ni nyienyie dada zetu, mnakuta mnashadadia super star kwa ujinga anaofanya. Acha siku moja watajisaidia na kuwatupia ili mfurahi zaidi.

Leave vidato out of this.
Ungetembelea mitaa ya Mabibo Hostel uone elites wa taifa wanavyofanya, afu nenda kwetu kijijini ukaone mama zangu waliosoma elimu ya watu wazima wanavyobehave...
Utaipendaje?
 
mabinti wa kike ndo mnapenda hizo kata k ndo maana washikaji wako bize kuwakandamiza.
kwanza waombe radhi hao uliowataja kwa majina.
sie tukiwa A-levo kuna watu walikuwa wanavaa hiyo staili, siku 1 sekandi masta akatangaza asubu asembli kuwa watu wote wanaovalia suruali chini ya kiuno tayari wamesha fi**a, na kama kuna mtua anataka ku**** awaambie tu.
Akawageukia wasichana akawaambia anashangaa wanakuwa na mwanaume ambao wenzao wana 0713,

ndani ya dk sifuri watu wote wamevaa staili ya kongoman (mayenu), ikiwa mtu kajisahau akashusha kidogo washkaji wanamwomba wengine wakidai hawaja wahi test wanaomba kutesti, wengine walikuwa wanarusha ngumi, ila watu walibadilika kabisa wakawa wanapiga staili ya koff olomide,

Nafikiri hiyo tukianza kuwatania na kuwaambia akina dada wasiwashobokee wanaposhusha sarawali zao tatizo laweza pungua kwa kiasi kikubwa.
 
Hivi ni vijimambo tu vya mpito. When they grow their stupidity will cease.
 
dddd.jpg
sasa kama hii ndo nini?ptuuuuuuuuuuuu!:smash::smash::smash::smash:
 
Ni kukosa akili tu, kwani ukivaa vizuri kwa maana ya kuvaa suruali na kuifunga sehemu inayostahili huwezi kuwa msanii mzuri? Ni bangi zao ndo zinawasumbua!
 
Jamani kaka na vijanaume vyetu mbona mnazidi kuvaa hizo kata K mpaka mnatia kichefuchefu, nimeangalia sijui tamasha la fiesta huyo anaitwa Ney yaani yeye ni boxer kabisa na wala sio bukta, Linex lakwake chafuu alafu kalianika, Jo Makini mtu mzima na yeye anavalia suruali chini ya makalio upuuzi mtupu. Nyie wakaka wa JF kabla hamjaanza kutusema mavazi wanawake embu wafundisheni wadogo zenu ndo tutawaheshimu au na nyie mmedondoshea mnatafuta soko dizaini Arabuni

Hivi kumbe hata akina dada na vijanamke mnakerwa na hivi vijanaume vinavyoning'iniza suruali utadhani vimejinyea? Mimi nilidhani vinavaa hivyo ili kuwa vutia wale wa jinsia tofauti. Itabidi kufanya utafiti kujua hivi vijamaa vinavaa hivyo kumvutia nani ikiwa akina dada na vijanamke havivutiwi na huo mvao!
 
Jamani kaka na vijanaume vyetu mbona mnazidi kuvaa hizo kata K mpaka mnatia kichefuchefu, nimeangalia sijui tamasha la fiesta huyo anaitwa Ney yaani yeye ni boxer kabisa na wala sio bukta, Linex lakwake chafuu alafu kalianika, Jo Makini mtu mzima na yeye anavalia suruali chini ya makalio upuuzi mtupu. Nyie wakaka wa JF kabla hamjaanza kutusema mavazi wanawake embu wafundisheni wadogo zenu ndo tutawaheshimu au na nyie mmedondoshea mnatafuta soko dizaini Arabuni

Nimekuja mbio nikijua kuwa kila unayekutana naye hajafua kumbe hili!!
Na wewe kwa nini uliconcentrate kwenye makalio tu?
Sehemu nyingine zilikuwa hazivutii kuangalia?
 
he he he, wao wana kata K, wanawake wana kanya Nyonyo.

Kongosho, nyonyo zinawekwa wazi ili kuvutia macho ya jinsia me na sio siri ziko effective. Ninachojiuliza hawa wa jinsia ya "me" wanaokata K wanawalenga kuwavutia jinsia gani hasa ya "ke" au ya "me" wenzao? Je inawezekana kweli mtu wa jinsia ya "ke" akavutiva kwa kuona nguo ya ndani au sehemu ya makalio ya jinsia ya "me".
 
Jamani kwa nini tukiambiwa ukweli tunakuwa wakali. Tujaribu kubadilika tunaiga mambo bila kujua yule anaye vaa kata K anamanisha nini
 
Ndo hapo nashangaa rick ross mwenyewe aliyelipwa mamilion ya shilling kavalia kiunon smart, but wabongo fleva sasa.. Full kuonesha ******...

Na hawana chochote wanachofanya jukwaan zaidi ya kusema piga kelele na mikono juuu... Kumbe ndo maana ruge anawalipa elfu 50 tu maana hawana wanachofanya
 
Ukiona mtu anauza 'ugoro', jua una wateja tu

Hata kama huwajui wateja ni akina nani, fo sure wapo.

Back
Top Bottom