Wanaume na kukataa mimba zao

Wanaume na kukataa mimba zao

hakuna gongana hapo, kwani hao Watoto nimewapata katika mazingira ambayo ni vigumu kuamini kama ni wangu au la. Lakini naamini wote ni Wangu

Mweeeeeeeh!! Vijana mpo vizuri duuuh!!
 
Mi kweli nipo tayari kukataa mimba kwa sabab sijaibeba mie.Ule ni mzigo wake na ndo mana kaubeba yeye na kamwe mi siwez kumsaidia kuubeba. Sasa itakuaje mimba yangu wakati kaibeba yeye??. Lakin atakapojifungua mtoto na kujiridhisha ni wangu basi sitomkataa. Wanaume wanakataa watoto sio mimba. Mimba itabak kuwa ya mwanamke kwa sababu haimishiki. NAENDELEA.
 
Baada kuweka sawa hapo juu napenda nichangie mawazo yangu.
Umasikini, Kwa mataifa masikini ambayo wananchi wake wengi ni maskini. Hivyo huona ni mzigo kulea mtoto. Huamua kutelekeza watoto ambao baadae hawajui watakija kiwa kina nani. Wengi wao baadae maisha yakiwanyookea huwahitaji tena watoto wao. Na huenda kwa muda huo mtu akahangaika kupata mtoto lakini inashindikana.
Kutoridhika na mhusika, kuna wakati unasukumwa na tamaa za kimwili kiasi kwamba unashindwa kuchagua na kuona wote walio mbele yako sawa. Hivyo unakua kutembea na yoyote ili kukidhi mahitaji yako ya kimwili. Matokeo hutokea mimba zisizo na mpangilio. Baba humkataa mtoto kutokana halupanga kuzaa na mtu wa aina ya mhusika. Kwa mfano baba ni msomi lakini imetokea kampa mimba mtu asiyeelimika. Au me ni tajiri lakini kampa mimba maskini. Hiyo ni miongoni mwa sababu.
Mashaka na wasiwasi kuhusu ujauzito, mtu hukataa mtoto kutokana na mashaka juu ya mwanamke, huenda akaona mwanamke ni kicheche, hivyo akadhani mtoto si wake, hiyo huwapelekea wanaume wengi kujiweka na wanawake waliowapa ujauzito.

Nimalize kwa kusema kwamba, mbali na wanaume kukataa watoto wao. Lakini kuna wanawake pia huwanyima wanaume watoto na kusema kwamba watoto si wao. Hiyo hutokea na ina sababu zake.
 
sisi wanaume tunataga utamu tuu na siyo watoto pia condom zinaumiza sana ukivaa,ndiyo mana mimi huwa sivai nagegeda tu na mimba sitaki
We kiboko ngoja HIV ndio utajuta
 
Back
Top Bottom