Wanaume na haraka ya ngono

Wa mikoani umewachinjia baharini ok all the best ,,,,!

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Tunakwepa mbuzi kwenye gunia
 
Men we do not want sex, we need sex.
 
itakuwaje mkisubiriana kisha baadae ukapata huyo dume ni kibamia?..au mwanamume ukapata kumbe pango?..
 
Mimi nawazungushaga hadi Mwaka aiseee

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Hili swali silipendi na nikiulizwa najifanya kama sijasikia.
 
Mimi nawazungushaga hadi Mwaka aiseee

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
Utakuwa unatongozwa na waume za watu lakini sio single na kama ni single basi ana vivuli vingi vya kupumzikia
 

Kwani wewe unajua unatongozwa ili iwe nini?
 
ukimkubalia mwanaume ina maana upo tayari kwa ajili ya kugegedana

kitu ambacho tunaweza kusubiri ni jibu la mtongozo sio sex
mkuu unanikoshaga sana na comment zako upo very straight

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…