Lokii
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 708
- 2,091
Radi ni umeme, kwahiyo radi inaweza kutengeneza path kupitia calling signal ya simu yako na mwili wako kwenda ardhini yaan we ukawa part ya circuit mzeeBado haimake sense kwangu mathee.
Radi ni umeme, kwahiyo radi inaweza kutengeneza path kupitia calling signal ya simu yako na mwili wako kwenda ardhini yaan we ukawa part ya circuit mzeeBado haimake sense kwangu mathee.
Kama nilipo uku uwa inanyesha daily. Alafu sometimes unakuta ni Ile mvua ya magoli ndo inanyesha [emoji3] [emoji3]Kila siku usiku lazima inyeshe!! hahaah
Kwa hiyo mtu mzima kila akipigiwa kuna radi ndicho kisingizio! Ndiyo maana siilewi.Radi ni umeme, kwahiyo radi inaweza kutengeneza path kupitia calling signal ya simu yako na mwili wako kwenda ardhini yaan we ukawa part ya circuit mzee
Acha kutufuatafuata tuache bhana..!Kwa wale waliomo katika mapenzi ya mbali(Distance love) wanaume wenu wanatumia kauli gani muwapigiapo simu muda wa usiku?
Hii nimeishuhudia kwa baadhi wa mashost zangu wakilalamika kuwa siku hizi wakiwapgia sim wapenzi wao muda wa usiku wanadai mvua inanyesha,wanasema "Nitafute asubuhi"
Halafu haka kamchezo karibia wanaume wengi wanakatumia
Hivi mvua zinanysha usiku tu?
Subiri kdgo bado kuna mvua na radi Baby eb kata simu nitapigwa radi
Haha ndo maana yake, si unajua tena lazima kuwe na namna ya kujustify the means?Kwa hiyo mtu mzima kila akipigiwa kuna radi ndicho kisingizio! Ndiyo maana siilewi.
ukishakua na long distance marriage jua hilo tayar ni jipu...... kwann uishi mbali na mwenza?Kwa wale waliomo katika mapenzi ya mbali(Distance love) wanaume wenu wanatumia kauli gani muwapigiapo simu muda wa usiku?
Hii nimeishuhudia kwa baadhi wa mashost zangu wakilalamika kuwa siku hizi wakiwapgia sim wapenzi wao muda wa usiku wanadai mvua inanyesha,wanasema "Nitafute asubuhi"
Halafu haka kamchezo karibia wanaume wengi wanakatumia
Hivi mvua zinanysha usiku tu?
Haaaaaahaaaaa yaani nimetukana bonge la tusi kimoyomoyo kuandika hp nimeogopa ban tu dah... umenchekesha vbaya mno!Subiri kdgo bado kuna mvua na radi Baby eb kata simu nitapigwa radi
..Kuna tatzo mkuu!! 😏😏Dahhhh!
Kwa wale waliomo katika mapenzi ya mbali(Distance love) wanaume wenu wanatumia kauli gani muwapigiapo simu muda wa usiku?