Wanaume muwe wasafi basiiii khaaaaa

Nani amewaambia kuna uhusiano wa kusoma na kujitambua?Haya ndo matatizo ya kuhusisha shule na kujitambua.
Mi nadhani angekua ni mtu ambae hajenda shule ana toa harufu hivyo isingekua ishu hapa,na hii inatokana na ujinga wetu wa kudhani kuwa asiesoma ni less humana,shame on us!

Kujitambua ni hatua muhimu katika maisha ya binadamu na itamsaidia kujua majukumu yake ikiwa ni pamoja na usafi wa mwili wake.
Tuache kuishi kwa mazoea!
 

Nadhani uzi huu umekuwa ni kama weak area hivi, kila mtu atasema lake.

Labda niwasaidie kitu kimoja, kuna watu wanavikwapa kama vya asili hivi. Na hii haipo kwa wanaume peke yake bali hata wanawake. Unaweza kukuta hata mwanaume afanye nini bado shombo la harufu yake bado litabaki kunuka!!!!! Group hiyo siiongelei maana hao wanahitaji msaada wa kipekee au darasa lao maalumu.

Group la pili ni lile la watu ambao ni wavivu wa kujipenda, yaani hawajali. Group hili ndiyo linatakiwa kupelekewa shutma zote hizi.

Mtu akiamua kubadilika anakuwa msafi kabisa lakini uvivu ndiyo unamponza. Na wengi wanaonasa katika group hili ni wale ambao wanaona hawana la kupiteza, kama ni mke anae an kama GF anae na haoni haja ya kujiremba au kupendeza kwa sababu huyo alienae kashakubaliana na uozo huo!!!!!

Inasikitisha lakini ndiyo ukweli.
 
Unakuta kidume kinanuka kama bata,mdomo mbona hujasema?.hawa wa midomo tena ni hodari wa kunong'oneza wenzao
 


Mjinga mwenyewe na tena ukome, amekuita nani?, au nawe ndo walewale wa kibeberubeberu?
Mfyuuuuuuuuuuuuuu.........!!!!!!!
 
Hahaha mbona kuna wanawake ambao wasafi juu juu wananukia wakivua utadhani umefungua ndoo ya samaki kutoka feri

BADILI TABIA kakosea kidogo,angewachamba wote,yani wanaume kwa wanawake kwasababu hata sisi tunapata tabu sana kwenye daladala hapa mjini ukikuta mwanamke ananuka kwetu pazuri,hata wanawake wajirekebishe na wasafishe vizuri kunako
 
Last edited by a moderator:
yaaani unakuta shati kavaa siku 3 ana anakuja nalo job sasa sijui huwa haonagi haibu na isitoshe una kuta mwingine anaye mke sasa cjui huyo mke wake huwaga anaridhika na hiyo halai jamani ,hebu wanawake tulio kwenye ndoa tuwajali waume zetu kwa kuwahimiza kwa kuwafanyia usafi maana aibu mmmmmmmmm
 
BADILI TABIA kakosea kidogo,angewachamba wote,yani wanaume kwa wanawake kwasababu hata sisi tunapata tabu sana kwenye daladala hapa mjini ukikuta mwanamke ananuka kwetu pazuri,hata wanawake wajirekebishe na wasafishe vizuri kunako

Mkaka hii thread ni special kwa wanaume, wanawake thread zipo nyingi za usafi na mambo mengineyo. Hivyo wewe sit back, relax tuendelee kuongelea usafi kwa wanaume.




Hivi kweli mpaka issue ya usafi mke amuhimize mume? mbona ni kitu ambacho kila mtu anatakiwa ajitambue kwa hili?!! yaani mtu hawezi feel ananuka mpaka mkewe? au aoni anarudia sana nguo mpaka mkewe aone? khaah!! wanawake mbona kazi ipo.

Kuna kaka mmoja tulimpa live ofisini, alikuwa imezidi harufu si mdomo si mwili...kweli siku hizi amebadilika na fukuto limeisha pia hakuweka uadui..kijana handy ila alikuwa anatema vibaya mno.
 
Asante BT kwakuwa chachu ya kubadilisha tabia kwenye jamii yetu, lazima tukubali usafi ni afya.

Hata vitabu vya dini vinahimiza swala la usafi kwa mili yetu.

Kweli usafi ni afya

Asante BT
 
Hao ni wachafu kutoka moyoni!


Duh... me huwa nashangazwa na wanaume waliooa kutokuwa smart... hivi kweli anawezaje kuondoka nyumbani kwake akiwa rafu??? mkewe huwa yuko wapi???
 
Kuna jamaa ana mke amesoma na mrembo lakini socks anazovaa vidole vyote nje lakini safi na anayezifua ni mkewe, basi hata nikikutana na mkewe kapendeza vipi huwa namdharau sana, hata kama mmeo hajipendi unatakiwa kumbadilisha pesa jamaa ipo ila yuko bize sana na pesa ipo.
 
Hahahahahahaha


hahahahahahahah Asprin my hubby naelewa hilo, kuna baadhi ya wanawake wananuka pia, ingawa sikutaka kulizungumzia hilo...........laiti kama sheria za kazi zingelazimisha wanaume waoge loh
 
Last edited by a moderator:
Unataka mwanaume awe msafi na anukie ili iweje? Shoga au bwabwa na wanawake ndio wanao nukia.
 
Hahahahahahahahaha
hapo kwenye gari la taka duuuuuuuuuuuuuu

 
Hahahahahahahahahah
usafi ni afya

 
Daaaa usafi ni afyaaa!

 
Last edited by a moderator:
bora umewachana live...... kisa cha kunuka kimbuzi mbuzi nini!!!!! tena harufu za mdomo ndio uwiiiiii!!! noumer.

Dume la mbegu shuruti linuke, hujakutana na dume lililotoka kufukua kinyesi wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…