Wanaume Mungu awasaidie

Wanaume Mungu awasaidie

Kuna wengine ni maboya wa asili kula mbususu hali ila anatumika kufanya hivyo vitu. Wakaka wa hivyo huwa hawana maendeleo buruma zinawaponza
 
Sasa mkaka bachela anapanga vipi nyumba vyoo vya kushare?
Si atafute self container ili awe huru, naye sijui anakwama wapiii khaaah.
 
Kama mimi nilikokua nimepanga Morogoro ilifikia hatua hata gas zikikata wanakuja kupashia kwangu mi nilikua na jiko ila nilikua sipiki gharama za usafi na umeme mimi duh

Halafu uliwatafuna au uliacha bahati yote hiyo ikapita...
 
Yeye hajaoa na wewe haujaolewa halafu umepanga nyumba moja. Hapo lazima vyuma viuumane.
1655557844075.png

Kwa mkao huu amemtega naye atamnasa kwa bulb
 
Yaani tokea nimeamia hapa nilipo, kuna mkaka mmoja bachela, yaani wanawake wote hapa wameolewa, lakini wanamtegemea yeye, sijui waume zao wana majukumu gani. Umeme ukiisha wanamtazama yeye tu, taa za korido na toilet zikiungua ni yeye tu, gharama za usafi na michango ni yeye tu

Hajui kukataa hata, upole umezidi, hadi huruma jamani yeye anatabasamu tu anajibu haina shida

Mnapitia mengi japokuwa hatuioni thamani yenu, Mungu awasaidie katika utafutaji wenu
Na wewe umeolewa..? au ni miongoni wanaomtegemea
 
Yaani tokea nimeamia hapa nilipo, kuna mkaka mmoja bachela, yaani wanawake wote hapa wameolewa, lakini wanamtegemea yeye, sijui waume zao wana majukumu gani. Umeme ukiisha wanamtazama yeye tu, taa za korido na toilet zikiungua ni yeye tu, gharama za usafi na michango ni yeye tu

Hajui kukataa hata, upole umezidi, hadi huruma jamani yeye anatabasamu tu anajibu haina shida

Mnapitia mengi japokuwa hatuioni thamani yenu, Mungu awasaidie katika utafutaji wenu
Unajua kutunga hadithi
Hongera
 
Wanaume wa hivyo ndio wanaongoza kwa kutumiwa na wanawake ila huwezi kuta mtu kama huyo anapokea the same love.
Wanawake wanaishiaga kusifia tu kama mtoa mada ila utaskia the guy is so boring!
 
Mtu yoyote anayeleta shobo kwa wanawake mainly hawa single mothers na waliolewa +madanga lazima ataishia kula njugu soon as Possible
 
Mmh!
Huyu si ndo yule aliyekuwa anaomba ushauri wa jinsi ya kuachana na mapenzi?

Kishaumana mabaharia, siku tatu zijazo mtu lazima achakatwe mbususu kimasihara!

Asisahau kuleta mrejesho wa jinsi alivyoliwa kimasihara kwenye uzi wa rikiboy
Hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom