Yaani tokea nimeamia hapa nilipo, kuna mkaka mmoja bachela, yaani wanawake wote hapa wameolewa, lakini wanamtegemea yeye[emoji3064], sijui waume zao wana majukumu gani. Umeme ukiisha wanamtazama yeye tu[emoji34], taa za korido na toilet zikiungua ni yeye tu, gharama za usafi na michango ni yeye tu[emoji26]
Hajui kukataa hata, upole umezidi, hadi huruma jamani[emoji24][emoji24] yeye anatabasamu tu anajibu haina shida[emoji849]
Mnapitia mengi japokuwa hatuioni thamani yenu, Mungu awasaidie katika utafutaji wenu[emoji120][emoji120]