Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,974
Mleta mada mwambie huyo jamaa ale hizo mbususu used za hao wake za watu.
Nashukuru saana kwa huruma yako,,Yaani tokea nimeamia hapa nilipo, kuna mkaka mmoja bachela, yaani wanawake wote hapa wameolewa, lakini wanamtegemea yeye, sijui waume zao wana majukumu gani. Umeme ukiisha wanamtazama yeye tu
, taa za korido na toilet zikiungua ni yeye tu, gharama za usafi na michango ni yeye tu
Hajui kukataa hata, upole umezidi, hadi huruma jamaniyeye anatabasamu tu anajibu haina shida
Mnapitia mengi japokuwa hatuioni thamani yenu, Mungu awasaidie katika utafutaji wenu![]()
Umeshampenda mpe papa tu atulize mawazoYaani tokea nimeamia hapa nilipo, kuna mkaka mmoja bachela, yaani wanawake wote hapa wameolewa, lakini wanamtegemea yeye, sijui waume zao wana majukumu gani. Umeme ukiisha wanamtazama yeye tu
, taa za korido na toilet zikiungua ni yeye tu, gharama za usafi na michango ni yeye tu
Hajui kukataa hata, upole umezidi, hadi huruma jamaniyeye anatabasamu tu anajibu haina shida
Mnapitia mengi japokuwa hatuioni thamani yenu, Mungu awasaidie katika utafutaji wenu![]()
Hahahaa!!Ushampa?
🤣🤣🤣🤣🤣Afu utashangaa huyohuyo Akiombwa na mama yake anakataa
Mmmmh hapana... Mazoea km haya huwa yanakuja na jinsi mtu unavyojiweka. Ulikaribisha mazoea mwenyewe... Yani mtu atoke na jisufuria lake aje apashie kwako??? Weeeh. Sijipati bado.Kama mimi nilikokua nimepanga Morogoro ilifikia hatua hata gas zikikata wanakuja kupashia kwangu mi nilikua na jiko ila nilikua sipiki gharama za usafi na umeme mimi duh
Mbususu ina nguvu ya ajabu sana. Tatizo wanawake wengi wanajui kuitumia na ndio pona yetu wanaumeAfu utashangaa huyohuyo Akiombwa na mama yake anakataa
Hajui kukataa hata, upole umezidi, hadi huruma jamani
yeye anatabasamu tu anajibu haina shida![]()
![]()