Wanaume, Mungu anawaona!

Wanaume, Mungu anawaona!

Mnamchosha Mungu, yaani kawapeni maarifa na bado mnataka ahangaike kuwasaidia matatizo ambayo suluhu Mnazo

Tunamwomba afanye yale ambayo hatuwezi, yale tunayoweza yote tushafanya na hamuyaoni

Sasa awapunguzie frequency zibaki zetu tuu ~ Na wanawake wote waseme Amina
😍😍😍😍😍😍
 
Tunamwomba afanye yale ambayo hatuwezi, yale tunayoweza yote tushafanya na hamuyaoni

Sasa awapunguzie frequency zibaki zetu tuu ~ Na wanawake wote waseme Amina
😍😍😍😍😍😍
Ninyi ni wasaidizi wetu (makatibu mahususi) Kwahiyo Baba Mungu hawezi kupunguza frequency ili hali anajua amewaleta ili mtusaidie kazi na kutupatia furaha ya maisha
 
Halafu bado una mwita "mwanaume wako". ukiona hivyo ujue wako mwenzako nao wanashangaa kuzikuta nguo zako kwa mwanume wao.nao wanaambiwa za mdada wa kazi
Kwa hiyo wote sio wetu
 
Sjamfuatilia mkuu..
Ok, ila usichunguze sana Boga au ukichunguza sana Bata hautamla bora uwe kama huoni wala kusikia ili miaka isonge mbele atachoka tu mwanaume akifika zaidi ya 45 anakuwa mtu wa familia zaidi anaacha tamaa na kuanza kula kwa macho
 
Sawa mkuu nashkuru
 
Back
Top Bottom