Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,168
- 4,334
- Thread starter
- #21
Sjakataa.. ila ndo uchepuke mpaka nijue jaman..Nyie wanawake mnajua mnnajitafutiaga stress za bure tuu...mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja wee tulia ikiwa zamu yako furahia