Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,168
- 4,334
- Thread starter
- #61
Asante sana
Asante sana
Watu wawili wakikupigia simu kwa wakati mmoja.Hii inatokeaje?
Si umwache?Kama kichwa cha thread kinavyosema..
Wanaume Mungu anawaona!!
Yani unakuta nguo za kike kwa mwanaume wako afu anakwambia eti ni za dada anaemsaidia kufanya usafi kwake!
Haya basi achana na hilo, sku nyingine unampigia sim unaambiwa inatumika baadae mtu anakwambia alikua anaoga!
Sio mpango wala nini!
Uzi tayari.
Iyo muhimu sana 😂 asante kwa kunikumbushaUnatesekaje na mmoja?
Kuwa na reserve mamalai
AsantePole mama Pretty
Mwisho nivunjike spinal cord na kuachwa niachwe 😂Mpe staili zote, atatulia
Oky asanteWatu wawili wakikupigia simu kwa wakati mmoja.
Aliyetangulia kupiga simu itaita, lakini mtu wa pili ataambiwa simu yako inatumika hata kama hujapokea.
Nimwachie nani mkuu?Si umwache?
Huyo jamaaNimwachie nani mkuu?
Na wewe tafuta mchepuko ili ukipitize na upunguze stressKama kichwa cha thread kinavyosema..
Wanaume Mungu anawaona!!
Yani unakuta nguo za kike kwa mwanaume wako afu anakwambia eti ni za dada anaemsaidia kufanya usafi kwake!😥
Haya basi achana na hilo, sku nyingine unampigia sim unaambiwa inatumika baadae mtu anakwambia alikua anaoga!😂
Sio mpango wala nini!
Uzi tayari.
Kama kichwa cha thread kinavyosema..
Wanaume Mungu anawaona!!
Yani unakuta nguo za kike kwa mwanaume wako afu anakwambia eti ni za dada anaemsaidia kufanya usafi kwake!😥
Haya basi achana na hilo, sku nyingine unampigia sim unaambiwa inatumika baadae mtu anakwambia alikua anaoga!😂
Sio mpango wala nini!
Uzi tayari.
Wanakushauri vibaya mama PrettyIyo muhimu sanaasante kwa kunikumbusha
Inawezekana kabisa..sku nyingine unampigia sim unaambiwa inatumika baadae mtu anakwambia alikua anaoga!😂
Halafu bado una mwita "mwanaume wako". ukiona hivyo ujue wako mwenzako nao wanashangaa kuzikuta nguo zako kwa mwanume wao.nao wanaambiwa za mdada wa kaziKama kichwa cha thread kinavyosema..
Wanaume Mungu anawaona!!
Yani unakuta nguo za kike kwa mwanaume wako afu anakwambia eti ni za dada anaemsaidia kufanya usafi kwake!😥
Haya basi achana na hilo, sku nyingine unampigia sim unaambiwa inatumika baadae mtu anakwambia alikua anaoga!😂
Sio mpango wala nini!
Uzi tayari.
Ukiichezea penseli vizuri,huwezi kuachwaMwisho nivunjike spinal cord na kuachwa niachwe 😂
Mnamchosha Mungu, yaani kawapeni maarifa na bado mnataka ahangaike kuwasaidia matatizo ambayo suluhu MnazoMuombe Mungu aingilie kati
Sasa nkimuacha namuachia nani?Huyo jamaa