Wanaume, Mungu anawaona!

Wanaume, Mungu anawaona!

Inawezekana kabisa mtu akiwa anaoga, ukampigia simu yake ikawa inatumika.

Endapo utampigia wakati simu yake tayari inaita akipigiwa na mtu mwingine.
 
Kama kichwa cha thread kinavyosema..
Wanaume Mungu anawaona!!

Yani unakuta nguo za kike kwa mwanaume wako afu anakwambia eti ni za dada anaemsaidia kufanya usafi kwake!

Haya basi achana na hilo, sku nyingine unampigia sim unaambiwa inatumika baadae mtu anakwambia alikua anaoga!

Sio mpango wala nini!

Uzi tayari.
mimi ni mkweli na mwaminifu
 
Ukiambiwa ukweli utaumia
JamiiForums-85835417.jpg
 
Kama kichwa cha thread kinavyosema..
Wanaume Mungu anawaona!!

Yani unakuta nguo za kike kwa mwanaume wako afu anakwambia eti ni za dada anaemsaidia kufanya usafi kwake!😥

Haya basi achana na hilo, sku nyingine unampigia sim unaambiwa inatumika baadae mtu anakwambia alikua anaoga!😂

Sio mpango wala nini!

Uzi tayari.
mtu saa 12 jion unamtext anakuja kukujibu saa 4 asubuhi, anakuambia kuwa aliwahi kulala kweli jaman. 🤣🤣🤣🤣........
 
Back
Top Bottom