Mkijiheshimu mtaheshimiwa.
Sasa kutwa kucha mnashabikia mambo ya kipumbavu kama umbea halafu mnaanza kujivunia na kushindana eti nani mmbea kuliko mwenzake au nani anajua kuchamba kumshinda mwenzake, nani atawaheshimu?
Wenyewe kwa wenyewe hamuheshimiani halafu mnategemea wengine wawaheshimu?
Acheni masikhara bana!