Kuna bro mmoja aliniambia alikuwa anakula mke wa boss lakini aliseviwa Diana. Basi Diana akipiga simu anambiwa yanayoendelea na boss ametulia. Anaambiwa hivi hapa tunakunywa chai na mzee na Leo anasafiri kwenda Zurich kwa wiki mbili. Information tayarihahahahhaha, mie wa kwangu nilibahatika kumbamba alikuwa amesave mwanamke wake "KATOTO" hahahahah
hahaahahahahaKuna bro mmoja aliniambia alikuwa anakula mke wa boss lakini alisaviwa Diana. Basi Diana akipiga simu anambiwa yotevyanayoendelwa na boss ametulia. Anaambiwa hivi hapa tunakunywa chai na mzee na Leo anasafiri kwenda Zurich kwa wiki mbili. Information tayari
hahahahahahhahahahaMbona majina una savu mengi tuu,Shida mkodisha majanvi,chatu muuza shuka,damwani makalio,zabibu muuza shanga,havintishi muuza sare,siwema kigodoro,moshi mkodisha majamvi,kidawa mshika hela ya Vikoba,semeni muuza liwa..lol
Aisee ngoja niwe makini na haya majina mawili Mwajuma Madera, Shamimu Saloon, yawezekana kuna kitu haiwezekani wasumbue namna hiyo wakati mhusika ana dera moja tu na nywele fupi, ahsante mkuu kwa kunitoa tongotongo.Kuna mdada alinisevu Dada wa Nguo, sijuagi aliwaza nini kunisevu hivyo wakati mimi ni dume..
Tasnia ya cheating upo vzri sanaMbona majina una savu mengi tuu,Shida mkodisha majanvi,chatu muuza shuka,damwani makalio,zabibu muuza shanga,havintishi muuza sare,siwema kigodoro,moshi mkodisha majamvi,kidawa mshika hela ya Vikoba,semeni muuza liwa..lol