Wanaume msiwe wanafki kwenye hili

Huyo kijana mwenzio ana 29 au 30?
Sasa ana tofauti gani na mwamba?
Mwamba kabakiza ngapi afike 40??

Angekuwa mwanao au dada ako ungemshauri aende kwa kijana wa hivyo especially mtu ni single faza

Kama ninyi mnavyokataa single maza na sisi tunakataa single faza broken
 
Kwakweli ameshaona mimi nina kazi anataka ajichomeke hapo tusaidiane kulea mwanae..
single faza broken hakubaliki
 
Tunakusubiria ukikaribia kufika MENOPAUSE
 
Mwamba kabakiza ngapi afike 40??

Angekuwa mwanao au dada ako ungemshauri aende kwa kijana wa hivyo especially mtu ni single faza

Kama ninyi mnavyokataa single maza na sisi tunakataa single faza broken
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila kumbuka Mwanamke anaishi kwenye namba, tofauti na sisi Wanaume.

Ukigonga 35 menopause hiyo inaanza Kuita, uvimbe na nyuzi nyuzi.

Ni maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…