katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
As long as na wewe ni mwanaume unakuhusu nahisiHuu mchambo unatuhusu hata sisi kaka zako ambao tumekutangulia kuuona mwezi?
Ila mbona mimi siringi pm yangu wazi.As long as na wewe ni mwanaume unakuhusu nahisi
Hahahahahahhhha mimi siwezi kwa kweliIla mbona mimi siringi pm yangu wazi.
Msukume aje kama anaona aibu.
hauwezi kuwa rafiki wa kweli kama haunifai kwa dhiki.Hahahahahahhhha mimi siwezi kwa kweli
Mzee mwenzangu upo?Ila mbona mimi siringi pm yangu wazi.
Msukume aje kama anaona aibu.
Itafika wakati tutachambana wote sasa nyie kule na vanga lenu la madela sisi na mapensi yetu hadi tuletewe chakula cha jioni.Wanaume wamenikeraa mm ndo maana kila siku nawachamba wanajifanya wenyewe ndo vibonde hapa duniani mxeeew kabisa
Acheni kutumia moyo, tumieni akili. Moyo uachie jukumu Lake la kusukuma damuHivi wanaume mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu .
Seriously mtabaki wenyewe.
Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia .
Acheni kuringa oh dunia wapo watu wengii.
Sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wavulana wapo.
Nipo aseeh mzee...Mzee mwenzangu upo?
Nakuona unanyoosha mkono upigiwe pandeNipo aseeh mzee...
Eeh aseeh kabla ya valentine nicheze mechi.Nakuona unanyoosha mkono upigiwe pande
Hahahahhahahhhhhh alafu Wewe wakojacko umeamua kunikaushia poah tu wacha niende tandika nikanunue kijora niwachambe mpaka nipate banItafika wakati tutachambana wote sasa nyie kule na vanga lenu la madela sisi na mapensi yetu hadi tuletewe chakula cha jioni.