Wanawake wa aina ya mtoa mada hawaitajiki kwenye jamii...
Wakati huo anaitwa huko kuonyeshwa kaburi la babu yake, akirudi ankuambia mama nina kwetu.Mafurushi ya hivyo baadae yanakuja na kauli kama "mzazi ni mzazi tu" kisa kaning'iza via vya uzazi.
Au atalaumiwa mama kuwa kamjaza sumu mtoto wakihisi watoto ni wajinga hawaelewi wala hawaoni kinachoendelea.
Wanaume wengi huwa ni waelewa ila nyie ndio wenye shida hamtaki kumove on.Tofauti zenu inabidi mziweke pembeni kwa ustawi wa watoto.
Wanaume wachache wanakimbia familia sio kwa kuwatelekeza bali kwa ugumu wa maisha anakimbia ili akatafute maisha na akiyapata anarudi home ili achukue familia anakuta tayar mwanamke keshazalishwa tena ********[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wanao kimbia au kukataa watoto. Uzeeni wakiwa na shida ndiyo hutafuta watoto wao.
Kuanzia umri wa miaka mitatu, ubongo wa mtoto unatunza kumbukumbu. Wengi mnakumbuka jinsi mzazi alivyokufundisha kuvaa kiatu cha mguu wa kulia na kushoto, kufunga kamba za viatu, kutandika kitanda, kwa wengine kucheza mpira pamoja au kuendesha baiskeli.
Kwa waliokosa haya kutoka kwa wazazi wengine wali iga mitaani na wengine imewaharibu ki saikolojia mpaka ukubwani.
Ume kaa miaka yote mnaishi kwa biashara ya mama ntilie anaofanya mama. Kuna siku ilibidi akakope kwa viongozi wa dini ili upate kwenda shule au matibabu. Leo hii kuna lizee linakuambia yeye ndiye Baba yako mzazi.
Matatizo hayakimbiwi pambana hapohapo au muwe na mawasiliano mazuri ikiwezekana wabebeWanaume wachache wanakimbia familia sio kwa kuwatelekeza bali kwa ugumu wa maisha anakimbia ili akatafute maisha na akiyapata anarudi home ili achukue familia anakuta tayar mwanamke keshazalishwa tena ********[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana kuhusu hii referencemwanaume tunazalisha hata uzeeni.
mwanaume wa kweli ukizaa watoto wawili na mwanamke wa kwanza sikilizia kwanza kama wana akili ndo uzae tena, kama wajinga wajinga na wanamsikiliza sana mama yao my friend picha chuni wote kama Dr wa uchagani (rip) kisha piga mimba pengine hadi uone kuwa kuna mtoto mwenye akili ndipo utulie sasa.
usizani wanaume hatuwazi miaka 50 mbele, binafsi hata nikiwa 60 yy wakanikataa watoto ntaoa tena nazaa kabisa.
Wanawake wa Kitanzania ni wangumu kuelewa hilo, wanafanya watoto kama kitega uchumi kwao kwakumshitaki baba ili kuendeleza ugomviTofauti zenu inabidi mziweke pembeni kwa ustawi wa watoto.
Uko sahihi ....Kuna wanao kimbia au kukataa watoto. Uzeeni wakiwa na shida ndiyo hutafuta watoto wao.