Wanaume msioe mwanamke wa aina hii

Me ukinikataa mara moja tu siku nyingine hata ukinipa mzigo siwez kudidisha sijui Nina matatizo Gani asee
 
kwani ukimla na kumuacha ndio nn utaacha alama au hiyo kitu hainaga makombo atakuja mwingine ataendelea kula
 
Ambaye kakusumbua mda mrefu wakati unamtongoza. Jua hakuna mapenzi hapo Bali kuna kitu kafuata au alikua ana mtu au anakulinganisha na watongozaJi wengine, kama kakuzungusha sana siku akijubali .mle alafu tupa kule
Ushauri wako ni wa mtu anayeona Wivu, Kwani mtu akioa mwanamke aliyepata shida kumpata si amejipatia anayemtaka. Kama umeshindwa kumpata unayemtaka ndo umeshamkosa acha wenzio wapate matunda ya bidii Zao
 
Dhambi sana... wanawake wengi kudeka ndiyo hulka yao... mwanaume inabidi uwe mvumilivu kama mvuvi wa ngadu vile..
 
Ambaye kakusumbua mda mrefu wakati unamtongoza. Jua hakuna mapenzi hapo Bali kuna kitu kafuata au alikua ana mtu au anakulinganisha na watongozaJi wengine, kama kakuzungusha sana siku akijubali .mle alafu tupa kule
Acha kupotosha watu wewe.
 
duh haya tukikubali haraka haraka ooh maharage ya mbeya ,.. tukizungusha ooh kula tupa kule haya bana nyie mna nyoka sisi tuna shimo.. lazima utakuja kulala tu shimoni
Naona hapo mwisho umebomoka Ya moyoni...
 
Ambaye kakusumbua mda mrefu wakati unamtongoza. Jua hakuna mapenzi hapo Bali kuna kitu kafuata au alikua ana mtu au anakulinganisha na watongozaJi wengine, kama kakuzungusha sana siku akijubali .mle alafu tupa kule
Nakubaliana n wewe 100%. Maxmum length ya kutongoza ni 6month. Ikizidi hapo potezea fanya yako.
 
Hivi wanaume na nyie mlishawahi kuelewa mnataka nini?

Katika hii case ya kutongoza
Mnataka kukubaliwa mapema ama kuzungushwa?
hatutaki kuzungushwa kikatili kwa kublokiwa, kutukanwa, kusonywa, kudharauliwa na mambo kama hayo. tutataka zungushwa ya ''na mimi nakupenda ila nina mtu, siko tayari kwa sasa" na mambo mengine kama hayo.
 
Ambaye kakusumbua mda mrefu wakati unamtongoza. Jua hakuna mapenzi hapo Bali kuna kitu kafuata au alikua ana mtu au anakulinganisha na watongozaJi wengine, kama kakuzungusha sana siku akijubali .mle alafu tupa kule
Dah kweli kabisa kuna demu nilimtongoza miaka mi 3 siku namdinya chumba kizima kilibadilika harufu ikawa mbaya
 
Back
Top Bottom