Wanaume mpo kweli?

Wanaume mpo kweli?

Naona watu humu JF washalikariri hilo neno ‘stress’.

Kitu kidogo tu, hata kama ni mzaha, utaishia kuambiwa una ‘stress’.

Ma shrink wa JF ni mabingwa kweli kweli teh teh teh
Wanaforce tufanane nao. Hatuwezi kufanana kila mtu apambane Na hali yake bna.
Unakuja kweli ?
 
Kipindi kama hiki cha sikukuu hata wanaume wanakataa jinsia yao sababu ya vibomu vya hapa na pale
Ila mm siwezi pinga
Nina zawadi nzuri na bora ya sikukuu bahati mbaya haijachukuliwa hadi sasa
 
Kadi, nguo na pesa ya salon. Mbona bikira yako ina thamani ndogo kias hicho......!! au ni ya kichina?
 
Kuwa na ela ni kuanzia kiasi gani?
Nina ela ya kutosheleza mahitaji yangu ya msingi....

Mambo makubwa sinaga tamaa nayo, najua nitayafikia tu.

Bado nakuuliza, kuwa na ela ni kuanzia kiasi gani?

Au ni hiyo 6M?
Kuwa Na hela kwanza ndo ujue kama ukiwa Na hela utakuwa Na stress au lah
 
Mpaka sasa hivi sijapewa hata kadi ya xmass
Nguo sijanunuliwa
Hela ya Saluni sijapewa
Halafu nikikataa Na bikra yangu naonekana nina dharau kweli?
Pm yako umefunga, nimekutafuta sana Jana wewe. Hebu nipm. Nikwambie nilichokuwa nakutafutia.
 
Back
Top Bottom