Wanaume mpo busy Kiasi hicho?

Wanaume mpo busy Kiasi hicho?

Kwani kuna utofauti gani??Mchumba,Mke anapatikana,anatafuta popote pale palipo na watu iwe kanisani,msikitini,safarini,kilioni,hospitalini,shuleni na mitandao ya kijamii!!Over
 
ndugu yangu wa mtaani maringo mengi sana,bora wa huku hata haumuoni. wamtaa ni unamshuhudia wanamfukuzia wengi halafu ukimwambia mara hayuko tayari kuole leo wala kesho,sasa wanini huyo.mie sina mpango na wadada wa mtaani kwetu nilisha watokea wa3 hakuna hata mmja alietaka kuolewa nilichoka na kuwakatia tamaa. nasema bora kutafuta mchumba kwenye mtandao kuliko mitaani ni hovyo tupu.
 
Sioni tatizo lipo wap? Hao wa mitaani, maofisin na cjui wap. Ndo hao hao wapo humu jf.
 
Kumwaga sera za kupata mchumba ni ngumu.Bora kugombea urais unakuwa na wapiga debe mkuu.
 
Hivi inakuaje mwanaume anakuja kutafuta mwanamke wa kuoa hapa Jf.Ina maana kashindwa kabisa kuwaona wanawake mitaani.Kiukweli wanawake ambao hawajaolewa na wanaohitaji kuolewa wapo wengi mno mitaani.Nenda maofisini mna wadada wengi tu sehemu mbalimbali za kazi madada wapo wengi mno hawajaolewa.Inakuaje watu watafute mke wa kuoa. humu?

wengi wazushi,ujanja usoni2
 
Back
Top Bottom