Wanaume mpo busy Kiasi hicho?

Wanaume mpo busy Kiasi hicho?

Hivi inakuaje mwanaume anakuja kutafuta mwanamke wa kuoa hapa Jf.Ina maana kashindwa kabisa kuwaona wanawake mitaani.Kiukweli wanawake ambao hawajaolewa na wanaohitaji kuolewa wapo wengi mno mitaani.Nenda maofisini mna wadada wengi tu sehemu mbalimbali za kazi madada wapo wengi mno hawajaolewa.Inakuaje watu watafute mke wa kuoa. humu?

Ukiwa na mtazamo hasi tegemea matokeo hasi na kinyume chake ni kweli 100%!!
U can meet anywhere & everywhere, no matter what!!!
Cha muhm ni dhamira, moyo & mindi zenu tuu!!
Mimi wng tumemit humu & tumepiga hatua kubwa hadi sasa!!!
Maelewano, tulivokutana ama kwa hakika kila MTU alitahamaki na mwenzie!!!
Mahaba zaidi ya mahaba, tunabebana hatariiii!!!
There's no longer biasness at all!!!
Mungu atawakutanisha wawili wawe mwili mmoja popote hata kama chooni!!!

Salam zikufikie kipenzi changu Momfay
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kama unataka kutuburudisha hivi
 
Last edited by a moderator:
tatizo hao wahuku mitaani ni maringo kitu unakuta mtu ndo uko serious ushampenda shost kumtongoza mpaka aje akupe jibu mwezi mara oh nina mtu wangu mara siko tayar kwa sasa nisubori mwaka 1. mara njoo kesho notakujibu.nawakati huo bado ipo kwenye mchakato anataka vocha wewe hakupigii anakubip vocha yako wanapigiwa wengine.shida yote ysnini?nakuja humu napata mwenye shida kama mie tunaanza maisha.

Sorry hio touch ni mpya mkuu? Mbona rafu nyingi?
 
wengine tuko serious bwana tena serious

Mbona hakuna mrejesho unakuta wanawake 20 wanatafuta waume pia wanaume 20 wanatafuta wake sasa kama wapo serious kwanini wasijichague wenye matangazo humu wakamake bond? Au ndo kuburudisha jukwaa
 
isee mbona unakatisha wenzio tamaa kiasi hicho mapenzi ni popote
 
Back
Top Bottom