Wanaume mnataka mgundue nini

Huyu ni mdogo wako kwa Mama yako mwingine, umenifikiria vibaya tu Mwanangu, nilikuwa namfanyia nae ka-shopping...!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sihuwa mnapenda talaka jaman ???? sema kwaulivyo mchalu .....tutazikana tu mama.
Sio kwa talaka ya miaka tisini hii sio sawa na ni unyanyasaji wa kijinsia nipe hapa hapa tu kwenye 20/28 lakini tisini noooo nitavumiliaaa tu tumalizie shida na raha zetu
 
Sio kwa talaka ya miaka tisini hii sio sawa na ni unyanyasaji wa kijinsia nipe hapa hapa tu kwenye 20/28 lakini tisini noooo nitavumiliaaa tu tumalizie shida na raha zetu
Aya km niivyo wacha nifikirie ombi lako ,ikiwezekana nikupe angali mapema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
sijawahi kutoka na mzee nimejibia hapa ili usipate tabu ya kutagiwa....sasa Mimi mzee hiyo nini yake yenyewe ishaanza kukunjana mi ya kazi gani
Sawa mkuu humu kuna jamaa anajiita boloyoung. Ebu ngoja akuje anisaidie ikikunjamana inafanana aje....[emoji47] [emoji47]
 
"kumlidhisha"


Ujifumze kuandika basi!

Unatia aibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…