Wanaume mnataka mgundue nini

Mmmhhh baby ...sitaki kukuchakaza ,,nakutumia taratibu taratibu kwamatumizi ya baadaeee kwamiaka 90 tu alafu ndo tutapeana talaka
 
its not that easy chief, mahusiano yanakuwaga na vitu vya ajabu ajabu sana sometimes
 
Masoud Kipanya: Hakuna mwanaume Anayeridhika na Mwanamke mmoja. ....Ukiona katulia na mmoja basi ana matatizo au uchumi umekaa vibaya

“Hakuna mwanaume anaependa kuwa na mwanamke mmoja,na hiyo ndiyo huruka ya uanaume,tunajizuia tu kwa sababu!! hivyo kwa mfano kwa wenzangu wakristo utaratibu unawazuia lakini angalia vidumu vilivyo nje unaona eeehh??"
 
Imeeandikwa oeni wanne au watatu mpaka wawili ikibidi oa mmoja,maana yake mwanaume kamili anatakiwa aoe waane kwa nguvu alizonazo akiwa hana uwezo basi ndio ataoa mmoja.Mwache mzee 'afaudu'.Haluu.wakulaumiwa sio mzee ni huyo binti kwa kumkubali muhenga.Nani anatamaa hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…