Technologiest
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,712
- 4,026
Pole sana,njoo kwangu nikutulize
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
