Wanaume mnatafutaga nini?

Wanaume mnatafutaga nini?

Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo kwangu sifikirii kuwa na mchepuko, sijawahi kuwa na mchepuko sina haja ya kuwa na mchepuko! Utakuwa wewe tu kuongeza mwengine labda mungu apende! Maana mimi ni nani hadi nikatae agizo la bwana..? Akiniletea mwengine nikakataa nitakosa thawabu!,Mimi si mkaidi kama farao!! Bwana na atende..

Usiogope hayo ni kama bwana akitaka ila asipotaka mi sitapinga pia nitakuwa nawe tu milele yote.. ila napinga vikali na kukemea kwa sisi wanaume kuwa na michepuko ambayo kwayo si kutoka kwa baba!!
 
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mamii, check afya yako, jipange utapambanaje mwakani
 
Mkuu una usingizi fanya ukalale, inaekekea ndo tabia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu hupewa kile anachostahili na wala siyo kile anachokitaka...ukiona umepata lonya lonya lako basi ujue ndiye saizi yako! Na mostly mabint decent ndiyo mnaongoza kwa kufanywa option C ilihali wale toka kwa bwana wangalipo tu somewhere around the world!
 
Back
Top Bottom