Wanaume mnatafutaga nini?

Wanaume mnatafutaga nini?

Ukweli ni kwamba wanafurahia mapenzi kwasababu hawajui mengi kuhusu wenza wao.
Uliambiwa ukimchunguza kuku huwezi kumla.
Umemwacha huyu lakini unayemtaka yupo na wengine muda huu, naye atakuwa labda na wengi kumshinda uliyemwacha.
Pole
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwajinsi nafsi inavyo nisuta, ebu tu nisikomenti kwenye huu uzi
IMG-20191214-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...jipange kuwaacha wanaume 52 mwaka 2020...

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom