Wanaume mnatafutaga nini?

Wanaume mnatafutaga nini?

Kwani nimesema solution ni kuishi na mimi?😀
Tulia january nitafute😀😀
80066621_2444962885744792_5925275149996654592_n.jpg
 
Sisi wenyewe hatujui...tusaidiane.
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nipe namba yako mrembo hakika sitakuwa na mwingine zaidi yako
 
Dunia haipo fair mamy, ukiwa mwema unapata gumegume au kurubembe, Amini katika kuomba Mungu ya kwamba kuna mtu special kwa ajili yako ambaye ni saizi yako na utaenjoy mapenzi yake, alafu usipende kucomplicate vitu sana utaumia
 
Ahsante sana

Back
Top Bottom