Wanaume mnajiamini sana aisee

Acheni umaraya
 
Ahahahahaaaa..!!
BTW, kwa mfano, huyo anayetafutwa ili "akaliwe" na huyo mwanaume, ni wewe, je.!! Una hizo UTI, gono, kaswende etc???
Hilo limdomo lako huwa akili miguuni kwani nani kasema ni mimi na isitoshe umeoa yakazi gani??
 
Ajali kazini na ajali haina kinga.
 
Mbona na wewe ulisema siku ile kwamba umewachoka wakaka wa JF waongo,wewe ulivyokutana nao ulikuwa unawajua??I miss you
 
Una hoja usikilizwe 😂, ila watu wana risk sana asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…