Wanaume mnajiamini sana aisee

Ndo umuhimu wa kusoma na madada wengi,mkimaliza kila mkoa unakua na koloni lako,ukifika tu,unalipanga linamtoroka mumewe unalilamba wee linarudi kwa mumewe au kuna wengine ni singo mothers, unashtua tu huyu hapa,unajilia hadi siku unaondoka.
 
Humu tuuu 😂
 

Uzi ulitakiwa uanze na 'Baadhi ya wanaume' umekosea sana kuwajumuisha baba yako na kaka yako kwenye uzi mmoja
 
Mwanamme hekaheka. Ukipoa una boa
 
Ungekua mwanaume ungeelewa inavyokua kwanza ujue starehe namba moja ya mwanaume ni papuchi hasa ikiwa mpya kwake ni kitendo cha kufurahisha moyo unapokutana na tundu jipya.
Pili wanaume wako makin hasa wanaonunua malaya kinga kwanza au upime maana hali mbaya labda uwe mwanaume ziro brain.

Tatu ni sababu za nature wanawake wa nne wanawaza kuingiliwa na kutawaliwa na mwanaume mmoja ila mwanaume mmoja kwa mwanamke mmoja hatoshi
 
Kuna mmoja apa nasubir nimpe tukio kaja na kibriefcase et kesho anasafiri 😹😹😹 Kuna mtu anauza sembe tumlaze jamaa uyu
Usijaribu!cheza game pewa Hela ya mboga maisha yasonge!!!Huwezi Jua anayoyapitia,usione tupo smart moyoni tunaungua sana!

Huyo ndio mumeo uliopewa Kwa usiku huo!Kuna wale unakutana nao unapiga nao stori Hadi unawaza huyu mtu uliumbiwa nini!!?kumbe umekutana nae usiku mmoja!!
 
Ukweli unauma sana sana sana aisee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…