Baba Wille
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 548
- 557
ukichapiwa shukuru mungu umepata wa kukusaidia, nyumbani mtalala usingizi. Mwanamke akikosa dudu anakuwa msumbufu na mkorofi sana, full stress, sana kama uko bize kusaka mpunga, unarudi umechoka huwezi game si bora uchapiwe tu nyumbani kuwe na amani.
Hivi kuna mwanaume asiye busy maisha haya haswa kwa umri wetu wa kati huu???!!!!
Huyo uliyemsikia ni "ashki majinuni" hawakilishi wanawake wote. . . . . . . .
Ha ha ha Mkuu umenichekesha sanaDah!!..haya sasa majanga..........Mtu ukiwa nyumbani unawaza hela nitaipata wapi ili niihudumie familia yangu...ukiwa sehemu za kazi unawaza sijui wife saa hizi anagegedwa..na nani??....mwisho wa siku mtu unakuta kaanguka ghafla na kapooza mwili mzima....kwa mawazo........
Ndoto yako nimeipenda!
Ubarikiwe sana
Duh!! Hapa hakuna emotional connection, eti achapwe kuondoa usumbufu..
funny thing wanaume wote humu watalaani mwanakekutoka nje
but huko nje anakutana na nani?
si ni sisi sisi?
Mkuu keyboard yako ikoje?
Hata wanawake wako busy aisee. Hivi kuna mwanamke ana nafasi ya kushiriki karamu daily?
Kweliiiiiiiiiiii...........Sure wakwetu... Tunaojitambua tuko wachache! Yagwasugu..