Wanaume mnaibiwa wake zenu, hamjui tu

Wanaume mnaibiwa wake zenu, hamjui tu

Ni makosa makubwa kujifungamanisha na mwili wa mwenzio.

Kuoana lengo lake kuu pamoja na kupata watoto ni kujiwekea mazingira ya kuwa karibu na mtu pindi unamhemko.

Mashaka yanaanza pale wanandoa wanapodhani wanamiliki miili ya wenza wao, wanaadam tukijiheshimu tutakuwa tumechagua fungu jema.

Akichepuka, kwa nadharia kwani anakuwa ndio mwanaume katommbbbwwwa????!!! Inabakia kuwa aliyefunuliwa utupu na kuiona aibu ni huyo mke, hapa mume/mke akijitia kuona maumivu (akitafuta kujua) huku aliyefiligiswa/filigisa ni mwingine (mke/mume) yaani hapa ndio fumbo la ndoa linapopatia jina.

N.b maamuzi ya kutia ama kutiwa hayabinafsishwi abadan regardless wapi na nani.
 
Alichosema hy Dada kina ukweli ila kaka zangu mwanamke dizaini hy ana hulka ya kuchepuka tu ht uache kazi mshinde wote lkn lazima achepuke,kwn huo ubusy c kwa Faida ya family yenu au??mkimpata wa dizaini hy mwambie aache kazi/biashara muwe mnaongozana popote uendapo...mwanamke anayejitambua na kujithamini hawez fanya upumbavu huo
 
naona wengi wamepinga maoni ya huyo dada kuwa wanaume ambao wako busy sio chanzo cha wanawake wao kuchepuka bali ni tabia ya muhusika....je ni kweli kuchepuka hakuwezi kusababishwa na manyanyaso,mazingira[kama hio mume kukosa muda na mkewe etc]?? mazingira hayawezi kubadili tabia ya mtu??? kwako OLESAIDIMU Yegomasika .
 
Last edited by a moderator:
slim5 unaweza kutangaza taarifa ya habar
 
Last edited by a moderator:
Tabia ya mtu bhan,hata uwe naye kila saa,kama ni kuchapwa niwakuchapwa tu,cyo wasomi,siyo wasiosoma,ni kuomba tu yasikutokee,hilo nu pepo
 
Tatizo ninaloliona vijana wengi wa kitanzania tendo la ngono limetawala sana kalakana za ubongo wetu. maisha ni zaidi ya ngono kwa karne ya 21. kaa ndani eti umridhishe mwanamke ndo utachapiwa zaidi. tubadili fikra zetu mke ni rafiki tu muda wowote unakimbiwa.
 
Alichosema hy Dada kina ukweli ila kaka zangu mwanamke dizaini hy ana hulka ya kuchepuka tu ht uache kazi mshinde wote lkn lazima achepuke,kwn huo ubusy c kwa Faida ya family yenu au??mkimpata wa dizaini hy mwambie aache kazi/biashara muwe mnaongozana popote uendapo...mwanamke anayejitambua na kujithamini hawez fanya upumbavu huo

asante jane well said .
 
Dah!!..haya sasa majanga..........Mtu ukiwa nyumbani unawaza hela nitaipata wapi ili niihudumie familia yangu...ukiwa sehemu za kazi unawaza sijui wife saa hizi anagegedwa..na nani??....mwisho wa siku mtu unakuta kaanguka ghafla na kapooza mwili mzima....kwa mawazo........

proffesor anasema.... true brother....
 
Huyo mwanamke hana tofauti na mabazazi wanaosemaga nyumba ndogo ni muhim ikiwa wife hafanyi yale wanaotaka!
Halafu mnashangaa as if ninyi ni malaika! Kwani ninyi wanaume hamzinzi?
Mabar maid ni wenu, changus, wake za watu, wanafunzi khaaaaa!
Nawashauri fanyeni kazi mboreshe maisha! Achaneni na swaga za kufatilia wake zenu wasichapwe! Ni kujipa stress bure kwavile huwezi kuzuia! Asilimia kubwa ya jamii meoza!
 
Malaya huyo! Ukiwa huna hela watakulia mke! Ukizitafuta kwa tabu upo busy wanakulia! Waache waliwe Kama ni Sifa basi! Wakati mwingine ni Muhimu kuvumiliana maana natafuta kwa ajili yake na wanawe! Ndo maana inapataga tabu
 
naona wengi wamepinga maoni ya huyo dada kuwa wanaume ambao wako busy sio chanzo cha wanawake wao kuchepuka bali ni tabia ya muhusika....je ni kweli kuchepuka hakuwezi kusababishwa na manyanyaso,mazingira[kama hio mume kukosa muda na mkewe etc]?? mazingira hayawezi kubadili tabia ya mtu??? kwako OLESAIDIMU Yegomasika .

Heri ya mwaka petrohead RRONDO kaka kunyanyasika ni chachu kubwa sana ya michepuko hili nina ushahidi nalo kabisaaa na vipigo kwa wanawake yaaani ni tiketi hii.
Ila kutokuwa na muda wa (kutosha/quality time) na mpenzi wako sio sababu ya yeye kuchapwa nje sababu hiyo time anaona return yake quantitatively na qualitatively ila kama haioni hapa napo kuna issues zitajitokeza!!!!!

Hivi uko field mara paper kesho meetings una presentation unasafiri ila yeye ana kila atakacho na sio kwamba hutoi game unatoa ila sio kama zamani bado akagongwe hapo utasema wewe ndio chanzo kaka mkubwa!!!!!
U busy tu sio sababu on its own mpaka kuwe na vitu vingine vichochezi sababu kwa niliiongea nao (not limited to) mdada can take two weeks without sex provided akioata anapata quality and adequate sex and love making sessions!!!

Nipo kusahihishwa!!!
 
Last edited by a moderator:
True! At least umenitia Moyo! Wanaume wengi ni hard working and for the future of the family!


QUOTE=Jane Steven;11814518]Alichosema hy Dada kina ukweli ila kaka zangu mwanamke dizaini hy ana hulka ya kuchepuka tu ht uache kazi mshinde wote lkn lazima achepuke,kwn huo ubusy c kwa Faida ya family yenu au??mkimpata wa dizaini hy mwambie aache kazi/biashara muwe mnaongozana popote uendapo...mwanamke anayejitambua na kujithamini hawez fanya upumbavu huo[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom