Baba Wille
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 548
- 554
ukichapiwa shukuru mungu umepata wa kukusaidia, nyumbani mtalala usingizi. Mwanamke akikosa dudu anakuwa msumbufu na mkorofi sana, full stress, sana kama uko bize kusaka mpunga, unarudi umechoka huwezi game si bora uchapiwe tu nyumbani kuwe na amani.
Duh!! Hapa hakuna emotional connection, eti achapwe kuondoa usumbufu..