Wanaume mnaibiwa wake zenu, hamjui tu

Wanaume mnaibiwa wake zenu, hamjui tu

Msiogope kufanya mambo ya maendeleo kwa sababu ya kuogopa kuchapiwa. Mwanamke unaweza kuwa nae 24/7, 365 days a year, lakini kama ana hulka ya kuchepuka huwezi mzuia. Mbona kuna wengi tu wanaojitambua!!!.
nikisikia mtu kama huyo anayepinga elimu akiwaza mambo ya mwili ambayo ni ya dakika chache atakuwa sio mzuri upstairs hakika,anahitajika akakake na wale bokoharam maana wanapinga elimu hao.
hii ni tabia ya ntu na ntu kama ngono umeiweka ni patern percel ya maisha yako basi tena.mume wangu amefanya publishing a lot of paper na journals ,vitabu vingi hata ukigoogle utaona now akirudi ni proffesor kabisa am proud mimi sikupenda kufika huko sababu niliamini katika kufanya biashara zangu ila ningeweza na ninapenda,haiwezi nizuia kuwa mwaminifu kwake hata akae 6yrs nitamsubiri tu yeye nakuendelea na mambo yetu yakuzalisha mali na kukuza familia nakuangalia watoto,ukikaa unawaza katikati ya miguu wewe huendelei kabisa.wanawake wa hivyo akili zao sio nzuri hata upstairs kuna walakini ,ameridi amechoka mpe moyo akipata hela mnakula wote nakufurahia akiongeza elimu kipato cha familia kinapanda unaenjoi u mwenzio kateseka kusoma usiku na mchana kwanini usimpe moyo???mimi nikiona mume wangu kachoka hata mwenzi au yuko bize sana na mambo mengi wala simsumbui naendelea na mambo yangu huku nikimtia moyo life goes on akipata mwanya tunafanya yetu maisha inaendeleaaaaa.huwezi kufanikiwa kama unawaza maku maku kila saa .utakuta unamtisha mumeo mzigooo
 
Hakuna cha kuibiwa mke wala nini,wanajiuza wenyewe wakinunuliwa bhaasss....mwanaume ataibiwaje mke kama wallet??? AIBU naona mie.
 
Wewe tulia tu anaechepuka ukijua tupa nje ila usiwaze sana
 
Awali ya yote niseme maisha ya mtu ni yake anawajibika kwa Mungu wake tu, haya mengine ya mtu na mke/mume, mtu na mchepuko, mtu na rafiki ni mahusiano tu ya wanadamu, viumbe vingine havina haya mahusiano. Ukioa au ukiolewa usimiliki maana hati miliki ya kila mtu iko kwa Mungu. Ukitaka kufa mapema jaribu kumiliki maisha ya mtu mwingine, utapagawa kama si kufa.

Sasa, nilisikia pia, naweza kusahihishwa, kwamba baadhi ya makabila, wazaramo, hufundishwa katika jando/unyago kuwa chungu hupikwa kwenye mafiga matatu. Sasa utandawazi sio kwa nchi tu hata hizi mila zimeingia kwenye utandawazi. kwa hiyo huwa hakuna sababu ya kuchepuka inayosababishwa na mwenzi au mazingira, huwa ni maamuzi mtu anayafanya kama anavyoamua kula nyama choma, kitimoto, maini, etc na anavyofanya hayo huwa yuko responsible kwa mmiliki wa maisha yake si kwa mtu mwingine. Anakuficha wewe ili kulinda mahusiano yenu tu, siku akikufanyia live basi ujue anakubeep uanze taratibu za kusitisha hayo mahusiano.

Mwanaume ni kusaka pesa, mahusiano mengine ya kibinadamu yanazunguka kwenye hiyo pesa.
 
ukichapiwa shukuru mungu umepata wa kukusaidia, nyumbani mtalala usingizi. Mwanamke akikosa dudu anakuwa msumbufu na mkorofi sana, full stress, sana kama uko bize kusaka mpunga, unarudi umechoka huwezi game si bora uchapiwe tu nyumbani kuwe na amani.
 
Hmna shida ye akakzwe tu ye ana hisia mi na pesa so ntawakaza na m nkitaka
 
ukichapiwa shukuru mungu umepata wa kukusaidia, nyumbani mtalala usingizi. Mwanamke akikosa dudu anakuwa msumbufu na mkorofi sana, full stress, sana kama uko bize kusaka mpunga, unarudi umechoka huwezi game si bora uchapiwe tu nyumbani kuwe na amani.

Kweli mkuu na ukzngatia taste ile ile kila ck acha akazwe tu
 
kuchapiwa ni siri ya ndani ?

Huyu richard analeta utani
 
Mwizi wa mke wa mtu still ni mwanaume.......we leo iba wa kwangu mimi kesho naiba wa kwako 😛oa
 
Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani, cc @ rich mavoko
 
Back
Top Bottom