Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!
Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.
Hebu badilikeni bwana!
Tutafutane basi boss

Hii haina comeback wazee. Tukajipange tu.
Wewe umeshajaribu?
Erectile dysfunction (ED) is soon going to be public health concern..
Teh.teh..hayo madhila hayajanikuta bado.
Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!
Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.
Hebu badilikeni bwana!
Slimshade boys ndo habari ya mjini! Mabadiliko uchepuke tu kama uko Kwa ndoaWanawake tunahitaji mabadiliko.......:behindsofa:
Jiwe gizani puuuuuuuu...