Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,158
- Thread starter
- #41
We hujiskii raha kupendwa na Bwana harusi..?
hapana,
We hujiskii raha kupendwa na Bwana harusi..?
That's how a man is suppose to behave...sio kujifanya haujamuona ila pia ni kuwa hauna habari na kinachoendelea hapo ulipo zaidi ya huyo uliyenaye tu..mimi sio mke tu tena kwenye harusi
mimi hata bar tu kama niko na mchumba.
wanawake wengine wote najifanya siwaoni......hata atokee beyonce ananikonyeza..
nitajifanya sijamuona....
Possible alikupenda kweli, na sbbu ulimbania na haukuwepo tena maeneo ya karibu nawe, alijua nafasi yake kwako, haipo tena, na pegine ushawishi wake ulishindikana.
Alipokuona ktk harusi obviously lazima kushtuka na zile hisia kwako kurudi, sbbu alikupenda na hakutegemea kukuona pale.
So alikuwa na haki ya kukueleza hisia zake ambazo ulizideny long ago.
So mchukulie poa tu
Kuna dalili kubwa lazima utakujampa tuu. Tena kamwoa rafiki yako ndio kabisaa.
Kuna dalili kubwa lazima utakujampa tuu. Tena kamwoa rafiki yako ndio kabisaa.
Hilo jibaa likataage kabisa dada angu, hujalimegea tunda kidogo lakini maana nyie mabinti hamsomeki
ama kweli huyu ni jibaba,zaidi ya mara tatu umetoka nae na hakufahidi chochote zaidi ya smile lako.mimi 1chance 1goal uwa sifanyi mzaha ktk uchaguzi wa location
Kabakabana,
Kama avatar yako ni wewe mwenyewe au ina represent ulivyo, usimlaumu huyo jamaa, avatar yako inaita kwa kelele.
mimi sio mke tu tena kwenye harusi
mimi hata bar tu kama niko na mchumba.
wanawake wengine wote najifanya siwaoni......hata atokee beyonce ananikonyeza..
nitajifanya sijamuona....
That's how a man is suppose to behave...sio kujifanya haujamuona ila pia ni kuwa hauna habari na kinachoendelea hapo ulipo zaidi ya huyo uliyenaye tu..
Itabidi ujitahidi kumpa soma rafiki yako, mwambie kuna jirani yenu wakiume alioa mwanamke kutoka msumbiji, na huyo mwanamke akawa anamuamini sana mme wake...kumbe mme wake anapenda rafiki yake huyo mwanamke...Afu unamwambia wanaume hawaminiki lazima awe na yeye careful na mme wake asimuamini sana mwanaume!niliumia sana na nilimwangalia yule rafiki yangu machozi yalinilenga!
Hakuwa na heshima wala ustaarabu hata kidogo.,
hahahaha the boss uongo huo,,profile lako na mabinti ninalo
Mazee hio ya kujifanya sioni huwa inanishinda kabisa, hata wife anajua mimi kwa kutazama wanawake wazuri naweza kupewa kikombe cha dunia, kama kuna mashindano.mimi sio mke tu tena kwenye harusi
mimi hata bar tu kama niko na mchumba.
wanawake wengine wote najifanya siwaoni......hata atokee beyonce ananikonyeza..
nitajifanya sijamuona....
Boss yaani sio heshima tu bali inakuwa maongezi yote na all eyes on her tu..huyo aliekupa profile langu la uwongo mwambie yatamshinda....lol
by the way sijasema sipendi warembo
ninachosema nikiwa na mmoja nahakikisha anajisikia malkia fulani hivi
heshima mbele kama tai,sio macho juu juu kwa vinavyopita
hata akitokea mrembo wa kunishtua,najikausha huwezi kuhisi chochote
get it?
kwani kukupenda kuna tatizo gani? unataka akuchukie?
Unampenda ila ndo hivyo...
huyo aliekupa profile langu la uwongo mwambie yatamshinda....lol
by the way sijasema sipendi warembo
ninachosema nikiwa na mmoja nahakikisha anajisikia malkia fulani hivi
heshima mbele kama tai,sio macho juu juu kwa vinavyopita
hata akitokea mrembo wa kunishtua,najikausha huwezi kuhisi chochote
get it?