polee sanaa, jitaid kumshauri Nancy kwa urafiki na pia ukaribu ajue jinsi ya kujiepusha na vishawishi au kujiweka katika usalama.Siku sema ni mume wangu baba nancy yupo mbele ya haki miaka kadhaa sasa.
Yule ni mjinga mjinga tu asie na mbele wala nyuma
kama uko hivyo usishangae kuona mwanao anapitia njia hizo hizo unazopitia wewe.Siku sema ni mume wangu baba nancy yupo mbele ya haki miaka kadhaa sasa.
Yule ni mjinga mjinga tu asie na mbele wala nyuma
Me nikisikia Nancy naikumbuka Mautam blog tu 😀 sasa kwa vitendo vya mama kritika na mtoto wake mmhh!..hahaaa kwani shemeji alikuwa hajui kuwa "" Bamdogo nipo Humu Jf "" mpaka hapa kesha nikosa aiseee..
hahaaaa..mautamu blog acha kabisaa..mama Nancy anasema yupo radhi mwanae kuliwa lakini iwe kwa vijana wenzieMe nikisikia Nancy naikumbuka Mautam blog tu 😀 sasa kwa vitendo vya mama kritika na mtoto wake mmhh!..
kakupa namba!?. Hebu muombe namba basi shemeji!🙂hahaaaa..mautamu blog acha kabisaa..mama Nancy anasema yupo radhi mwanae kuliwa lakini iwe kwa vijana wenzie
[emoji23][emoji23] jj swali gani ilo?Afu we ni mmama kumbe,ndo una toto kubwa ivo?
[emoji23][emoji23]Bby...natamn usiw unaon siled za huyu kritika
hahaAAa "" namba !!? ngoja nikayajenge nae pmkakupa namba!?. Hebu muombe namba basi shemeji!🙂
Cheka mwaya.."" nikicheka mimi naambiwa napnda kucheka...."" Cheka tani yako ..maana kuna mambo mengine badala ya kusikitisha yana chekesha mnoo aiseee