tukinao
Member
- Feb 17, 2018
- 59
- 115
Jamani nimekaa hapa nimewaza wanaume shughuli mnayo. Unakuta mwanaume anamhitaji mwanamke fulani anafanya yafuatayo:-
1. Anamlipia Tax au Uber mpaka sehemu alipo.
2. Anamnunulia chakula na vinywaji.
3. Analipa chumba.
4. Wanapeana mdinyo.
5. Asubuhi mwanamke anakunywa soup na anatakiwa apewe hela na gharama ya usafiri kumrudisha alipotoka.
Wanaume mna kazi jamani khaaa bora mimi mwanamke.
Leo nimewaonea huruma wanaume maana kama vile yamenikuta.