Wanaume mna kazi

Wanaume mna kazi

Yapo mpaka kesho na keshokutwa
Yah kwenye jamii ambayo ina watu wenye fikra duni zilizopitwa na wakati, haya mambo yataendelea kuwepo na mwanamke ataendelea kuwa chombo cha starehe tu wala hawezi kupata heshima yoyote.
 
Hyo ndo raha yetu wanaume kumsatisfy mwanmke uanzia kitandani mpk mengine ili ajiskie like a queen hata maandiko yameruhusu japo na yy hakatazwi kuchangia akitaka
 
Ndo maana mi huchukua dada poa mkikutana tu hakuna sijui chakula sijui nini, mnapanga bei mkikubaliana unapiga unasepa na hakuna kufuatiliana.... mfano huku kwetu 15,000 inatosha chumba na bao 2. tena unachagua demu mkali na hpo umelipa kipapaa

Wapi huduma kama hiyo inapatikana ?
 
Daaah kweli tunapata hasara kwa kweli
Ndo maana ukiendekeza kuchepuka maendeleo utayasikia tu kwa wengine, au utafanya chini ya kiwango, au utachelewa kuwa nayo
 
Kazi kivipi ndo uanaume huo, mtaka cha uvunguni lazma abinue kitanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom