Wanaume mmezidi vurugu

Kwenye maelezo yako sijaona ombi la papuchi, vip huwa hawaombi?
 
Pole sana bibie kwa kusumbuliwa na Marioo, Marioo wana tabu kweli wachane tu hamna namna
 
Njoo kwangu sintakuomba hela nitakupa penzi la dhati na nitakuoa kabisa
 
Mimi ni Me...ila sina tabia mbaya kama hao MALIOO...!! Wanajishusha sana.

Ama pengine una rekodi/historia ya KUHONGA Wanaume hapo awali...!?

Isije kuwa ni tabia yako....may be ex wako anawapa wenzie stori, hivyo wanajaribu kuja kutikisa KIBERITI...

Na kubwa wanatumia UPWEKE ulio nao, wakijua huwezi kujipa STAREHE mwenyewe...!!

Be careful, take care...!!
 
Teh ! Hadi aliekumwaga anakuomba hela mtoto wa kike? Balaa!
Inaelekea we ndiwe uliwazoesha kuwapa hela coz mwanaume km humpagi hela hata wazo la kukukopa hatakumbuka
 
Kwa tafsiri ya moja kwa moja wewe ni jimama, yaani unawanunua vijana wakutombbe kisha unawapa hela. Be careful
 
X hajui kama wapo watu hawa. Yeye anaamini bado nampenda na siwezi kumove on.
 
Swty fanya mpango wa kilo mbili ntakurudishia nkivuna alizeti usimwambie precious nimekukopa lov uuuuuu
 
Teh ! Hadi aliekumwaga anakuomba hela mtoto wa kike? Balaa!
Inaelekea we ndiwe uliwazoesha kuwapa hela coz mwanaume km humpagi hela hata wazo la kukukopa hatakumbuka
Bora hata huyo x tunajuana lifestyles zetu. Mimi nilikula sana zake sana tu. Na hakuwa mtu wa kuomba.
Hawa marioo wapya wanaoibuka hawanijui wala siwajui. Sijui kuhonga mwanaume. Mtu anakazana kukutambulisha alafu aje kwenu next day alafu anasindikiza na maombi ya pesa. Bora hata wangekuwa na hakika nina kazi.
 
Hao sio wanaume bali ni wa kiume tu... Real men halii lii shida ....


Pole kwa kukutana na wa kiume badala ya mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…