Wanaume mmezidi vurugu

Pole sana...
Inasikitisha sana...

Omba Mungu ipo siku utapata unayendana nae...

Ila kwa upande mwingine, ndege hufananao ndiyo huruka pamoja... Inawezekana unatabia zinazopelekea upate watu wa namna hiyo.. Kwa maana ya namna yako...



Cc: mahondaw
 
Wewe sio wa kunicheka emmy otherwise niambie unafirahi moyo wangu uridhike
Mi na wewe tena Kaka Masai huwezi amini nimefurahishwa na maneno yako pale kwenye mstari wa pili kutoka chini.

[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mi na wewe tena Kaka Masai huwezi amini nimefurahishwa na maneno yako pale kwenye mstari wa pili kutoka chini.

[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji4][emoji4] vidume wanataka pesa ya mdada bwana. Sasa ujue haileti maana kuanza kuelezea shida zako

"Najenga nyumba" ili iweje sasa. Tena kwa mtu baki.
 
Mimi mwanaume simpi hata mia yangu labda nimuone anakata roho.
 
[emoji4][emoji4] vidume wanataka pesa ya mdada bwana. Sasa ujue haileti maana kuanza kuelezea shida zako

"Najenga nyumba" ili iweje sasa. Tena kwa mtu baki.
Ndio hapo sasa. Ila hii inadhihirisha kuwa katika maisha ya kawaida kuna wanaume na vijanaume.
 
Upooo miss u
Nilivyomuelewa wanaume zake wanamfata kwa ajili ya pesa zake kila mwanaume anapenda kumuomba hela
haaa!
ni bahat kubwa sana kumissiwa na wewe
nami nilikumiss pia.

huyu uwa ana wahonga mwenyewe tuu asjitetee.
 
Yaan wanaume wawili tu ndo umeconclude na kusema kwamba wanaume wote tuko hvyo?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mm hiyo haijawh nitokea
 
Ahhh wee nawe labda ni huyo huyo sio wa archuga
 
Ndio maana umedinywa weee halafu umepigwa kibuti maana sio kwa povu hili (kwenye hitimisho)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara hoooo....,
 
Hiyo ya kuomba laki2 kwa ajil ya kumalzia nyuma sjaielewa
 
Ndio hao hao. MTU hata hujaingia nao kwenye mahusiano wanakuganda kama uko mwanamke peke yako. Ukimkataa anajifanya hajakusikia alafu hapohapo anaanza kutangaza shida.
Huko kungine kote ni zuga hapo ndipo point yako hahahaaaaa pole sana kwanini usingewaambia tu ukweli
 


Umeachika ukiwa kwenye ndoa ama nje ya ndoa ..tusijekuwa tunatoa msaada kwenye uzinzi naomba nijitakase kwa hili...uliolewa ..
 

Awakeri haoo wamestudy tabia yakoo ama wana info za reltnship yakoo pengine ulikuwa mtoaji kwa nia njema kabisa bado jamaa akaenda nje..so soln sikiliza hizo ombi za kila.siku uwezikosa mtu akakuacha salama ...allthe best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…