Wanaume mlioko kwenye ndoa humu mitandaoni mjiheshimu

Wanaume mlioko kwenye ndoa humu mitandaoni mjiheshimu

Inatokea mwanamke upo serias kutafuta mwenza humu anakufata mtu kwenye email na kuanza mahusiano na wewe kumbe yupo kwenye ndoa.

Sasa mtu akiamua kukuharibia na kukutangaza kwa kuweka mawasiliano yako facebook huko au instagram na mapicha yako sura yenyewe hata kwenye camera haikai ilivo pana utasemaje?

Jiheshimuni mtakuja kuona watu wabaya mtakapokuta picha zenu za uchi kwa baba wakwe zenu na maofisini mwenu na mashuleni kwa watoto wenu usijione mjanja mnachokitaka mtakipata soon.
WACHUMBA WANATAFUTWA FACE BOOK? MAHALA PAZURI NI SOKONI KAMA KALIAKOO
 
ukiona unamatatizo mengi yanakukuta wewe!
Jichunguze, wewe ndio tatizo..
Wanawake mmekuwa mkitumika sana..
Lakini matatizo yamekuwa yakiwarudia nyie wenyewe..

kuharibu ndoa, nyie mnaongoza..
wachawi, wengi ni nyie..
Roha mbaya,ukatili, nyie mnaongoza..

Ndio maana wanaume tuliambiwa na Mungu, tuishi na nyie kwa akili sana.
aliyajua matatizo yenu
Hayo uluyoyataja hapo yoote ndio tabia za wanaume wa siku hizi, ongezea na Umbea hapo [emoji2] [emoji2] si mchezo
 
Umeshamjua achana naye asikuumize kichwa.

Ila kuwa makini wanaume wengi wanaopenda mahusiano kwenye mitandao ni wasanii wamejawa na tamaa hata kama wana familia wako radhi kudanganya ili tu wakuchungulie mwisho wa siku waanze kutangaza na na kutia wanawake sifa mbaya.
kabisa
 
Kumekucha mtaa wa saba, hebu tupia hicho kibamia tukione
 
Inatokea mwanamke upo serias kutafuta mwenza humu anakufata mtu kwenye email na kuanza mahusiano na wewe kumbe yupo kwenye ndoa.

Sasa mtu akiamua kukuharibia na kukutangaza kwa kuweka mawasiliano yako facebook huko au instagram na mapicha yako sura yenyewe hata kwenye camera haikai ilivo pana utasemaje?

Jiheshimuni mtakuja kuona watu wabaya mtakapokuta picha zenu za uchi kwa baba wakwe zenu na maofisini mwenu na mashuleni kwa watoto wenu usijione mjanja mnachokitaka mtakipata soon.
Nimecheka sanaa jamanii...hasa hapo kwenye sura panaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom